mwaga ubuyu wote hapa hawezi kusema alichojibiwa u know
Mie aliniblok..
Hivi mtu akikublok ukataka kumfollow tena unafanyaje
Uknw lembebiz mkarez miss neddy Mimi ni mtu maarufu sana na nilazima nifatiliwe sana na atakapo leta habari zangu hapa uknw Mimi ndio nazidi kupata hela uknw....biashara ninayo Fanya ni ya utumbo..hivyo sijali..ni mwendo wa bataz....
Super garden mburulaz hawaelewi.....lakini mabebiz wakarez super lemtindiz wananipenda na wananipigia simu niwe nawajibu..hahahahhaha I like it
Duh ngoja nimfollow, nawaonea gele mnavyofaidi burudan za huyu mdingi, ni zaid ya comedy
Huyo jamaa nadhani alivyozaliwa alichelewa kulia...
Wataalam wanasema alikuwa na low apgar score.... Less than 7.
Uknw Leo nilialikwa kupiga picha na wabebiz wakarez wenye shule zoa pale Mlimani city uknw...
Supergadem mazafantaz lazima wsaone wivu hahahahahaha I love it
Uknw Leo nilialikwa kupiga picha na wabebiz wakarez wenye shule zoa pale Mlimani city uknw...
Supergadem mazafantaz lazima waone wivu hahahahahaha I love it
1. Matola mwanaume mzima mwenye watoto wanaokuheshimu sana unasema watakuheshimu zaidi kujua baba yao kazi yako kwenda kwenye instagram za wasiokujua na kuanza kuhamishia JF kwa kutumia jina la bandia na kuanza kuwatukana? Unasema for this watoto wako na mke wako watakuheshimu zaidi?
2. Eti kosa langu ni nini hasa in this case? Kwenda kwenye Instagram yangu kutangaza kwamba nitaweka ukweli kuhusu Diamond na Zari kama wana date au hapana, unasema nimevunja sheria ya nnchi? au unasema nilitumia bastola kuwalazimisha wananchi wengi pamoja na wewe kuja Instagram yangu kufuatilia huu umbeya?
3. Halafu umri wangu mbona unakupa taabu sana maana for sure huujui, mimi nikiwa 60 Mwenyekiti wako wa Chadema atakuwa 75, hahahahahahahaha unanichekesha sana ingawa I love this maana inaniongezea umaarufu zaidi hasa kwenye mitandao ambako ndio kuna 80% ya my investment.
- Otherwise Diamond is my close friend so is Zari and Wema too, na wote ni big Celebs kama mimi U know so lets the movie keep on going, ila umejishusha sana hadhi kwa mwanaume mzima kuingia instagram za wasiokujua na kuanza kuhamisha habari zao kwa majina ya bandia, ingawa najua kwamba unanifuata kwenye isnta yangu kwa sababu mimi ni Big Celeb
- Halafu mnanishaangaza sana mnasema mnanichukia na kwamba sifai na kwamba sina akili, jamani kila siku thread ya mtu msiyempenda inawezekana vipi yaani hii thread nimeona mahali mpaka Philemon Michael amechangia I was like no way daamn yaani nimekuwa this Big of Celebrity U know hahahahahaha and I love iit!!
Le Big Show
Here you are my brother you know me love you mingiiii....... Ha ha haaaaaaa!! Picha muhimu you know wao wanachonga Mie naingiza pesa. Bongo ni rahaaaaaazzzzzz, you know hata JK ananipigia simu mtu wangu achana na mnurulaaaaz...... Mabebz wakareeeeee napiga nao picha you know wananiomba.... Ha ha haaaaaa
Huyu ana mental case.Hahahahahaha am humbled uknw bebiz mkarez measkron ...uknw Mimi ni mtu maarufu sana na wananchi wananipenda sana uknw...kila siku wananipigia simu na sms kuwa wanafurahi ninavyo wajibu.....supergardem madebe matupu wasio na shule .uknw...unajua Jana nilialikwa kwenye kibao Kata uknw nilishangaa superlemtindiz wanavyo katika uknw....na jumamosi nilialikwa Mlimani city kupiga picha na wahitimu uknw....Mimi ni mtu maarufu..hahahahahahaha I love it
The king of all bongo social media
mange Kimambi amekukejeli kwenye blogu yake, anasema akili zako zinaendana na akili za Mbuta Nanga na kwamba mnafaa kuoana. Bado hujatoa tamko lako kuhusu kauli hiyo. Watanzania wanasubiri kusikia tamko lako ASAP. MAMBO YA MAKEUP + PLUS MY REPLY TO ZINJANTHROPUS
so unapigania kupiga picha na omar...inasikitisha sana- Nimepiga picha na Omar kwanza Ofisini kwake, pili Kempisk Hyatt na nyingine Serena na nyumbani kwa Davis, wewe kwani umeshawahi hata kumsogelea au unapiga piga flimbi tu hapa weka picha hapa tuone
Le Mutuz
Huyu ana mental case.
- Page 17 Viewers 20,000 wanamjadili a mental case iliyoletwa na wewe Genius, thank you JF I love it, halafu ona hawa wananchi wote wamekuja kwenye show ya mental case, hahahahahahahahahahahahhahahahaa I looove it U know!! - Le Big Show