We kidampa kweli. Nimesema matangazo sio show!!!Hakuna hela yoyote ya maana kwa show za kwenye night clubs, aachane na haya mambo ya pesa mbuzi, yeye ni Malecela ujue, na ana Degree tatu.
Ova
No one is insulting him
Excuse me
We kidampa kweli. Nimesema matangazo sio show!!!
mwenzako anapiga hela za matangazo kama nini. we shangaa tu
Jamaa huwa anawajibu sana ila bahati mbaya sana ubongo wenu hauna uwezo wa kutafsiri tena. Naishia hapaNataka ajibu mwenyewe Le Mutuz, labda uniambie wewe ni mkewe ndo naweza kukuelewa unapoamua kujitosa kumjibia.
Ova
Yani uyu jamaa lemutuz sidhan kama akili iko aawa ss jana umeandika pumba gani kwenye instagram yako khs zari? Eti adi upate uhakika ndo uende kwenye party yake Uganda..wewe ni nani kwani kwa zari? Si mpuuzi mmoja tu? Na mbn post umetoa ivi we baba una matatizo gani ww alafu kupenda kushadadia issue za kike kike yani we jamaa nahisi kama akili zako hazina ushirikiano..who ru to Zari??!ebu Kwenda uko
Nataka ajibu mwenyewe Le Mutuz, labda uniambie wewe ni mkewe ndo naweza kukuelewa unapoamua kujitosa kumjibia.
Ova
Then let him be,anamiliki kablog uchwara kasikoingiza pesa,show zake haziingizi pesa ooh anasocialiaze clubs....should b none of your mother fuckin.g bussiness!...no one amechagua maisha unayoishi huko ulipo na yeye muache...
- Eti nikujibu nini wewe Super Mburulazzz Mwanaume anayetumia majina ya bandia kufuatilia wanaume wengine unasema wewe ni mzima kweli? hahahahahahahah Unalili show zangu hivi unaamini kwamba wewe una uwezo wa kufanya Show ya kudhaminiwa na makampuni makubwa kama Serengeti Beer na Smart Telecom? Mbona hufanya tukaona, unalalamikia watu 5,500 waliokuja kwenye event yangu ya White Party niambie majuzi kwenye School Bus event Escape One wameingia watu wangapi kama sio 10,000 eti unasema wewe unaishi hapa mjini kweli au mnakuja asubuhi na mabasi halafu unajifanya wa mjini tuliza boli mjinga wewe!!
Le Mutuz
Hahahahahaaa Le Mutuz ujanja wote huo unachanganywa na udhamini wa hivyo vi show? Ila umefanya vizuri sana kuja kujibu.
Kingine umefanya vizuri sana kusaka mahali pa kuishi maana kwa umri wako kuishi kwenye nyumba ya Mzee Malecela ilikuwa inakushusha sana.
Ova
- hAHAhahahaha nilikuwa busy na kuhamia my new home 3 bedrooms apartment at downtown bongo Jamhuri street U know Kampala siendi naenda Arusha nitakuwa huko Kristmas na Mwaka mpya just to relax U know, baada ya 30 years majuu nimerudi bongo mgeni kabisa lakini in 3 years ya kuhangaika bongo now I am straight, my home, my car, and making money, sina uhakika unasema nini zaidi tu ya kelele za mlango nenda jipange tena U know!!
Le Mutuz
- Haikuwa inanishushia hadhi ila ningekaa Polisi sawa lakini kwenye nyumba ya baba yangu unasema mtu akiishi kwenye nyumba ya baba yake mzazi anashuka hadhi wapi huko kwenu nini? Hahahaa ninasema na nimeshasema nimekaa Majuu 30 years nimerudi 3 years ago na kukuta bongo tofauti na niliyoiacha, nikiwa majuu nimejenga nyumba kubwa sana Kinyerezi lakini baada ya kurudi nikaamua kukaa karibu na mjini kufanya biashara zangu kwa karibu, Baba yangu amehamia Dodoma nimekuta nyumba ya Baba yangu ipo tupu haina mtu, nimemuomba nijisitiri kwa muda mpaka nitakapojiweka sawa 3 years later nimehamia kwenye apartment yangu na kuiacha nyumba ya baba yangu ikiwa vile vile kama nilivyoikuta tupu, na sio moja tu zipo mbili zingine zipo tupu hazina mtu zimejaa popo, unasema kwamba kwa haya yote ni kujishushia heshima ila kujipandishia heshima ulitaka nikakae kwenye chumba cha kupanga Mwananyamala Koma Koma nianze kutumia Choo kimoja cha nje na wapangaji wengine ndio ningekuwa na heshima kwenye jamii? Hahahahaa heshima ya kuheshimiwa na nani wewe unayeingia JF kwa majina ya bandia na kutukana watu usiowajua ndio ninatakiwa kutafuta heshima yako kweli? Hahaha yaani kweli huoni kwamba kichwani mwako ni zero kabisa halafu unakuja hapa kujaribu kushindana na Degree 3 utaweza wapi, pole sana mkuu hapa ni maji mazito wewe unadhani mimi ni The King Of All Bongo Social Media Network kwa bahati mbaya ni shule wewe nenda shule now!!
Le Mutuz
Noah bovu unalohangaika nalo garage kila siku nalo ni gari??
Mkuu. Kama nyumba ilikuwa tupu si ungeendelea tu kukaa hapo ,kuliko kupanga, Acha uongo we sema mama malecela amekuchoka akakutimua nyumbani kwake
Hahahahahaaa Le Mutuz ujanja wote huo unachanganywa na udhamini wa hivyo vi show? Ila umefanya vizuri sana kuja kujibu.
Kingine umefanya vizuri sana kusaka mahali pa kuishi maana kwa umri wako kuishi kwenye nyumba ya Mzee Malecela ilikuwa inakushusha sana.
Ova
- Sawa sawa hebu jaribu kufanya one show tu kama unaweza kuwapata hao wadhamini mpuuuzi wewe hahahahaha
Le Mutuz
hebu tupe somo kuhusu matamasha na udhamini!!
yaani wale sponsor wanakupa hela before or after events?
nataka Nipige hizi mambo huku Namtumbo!!