Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Me kinachonivutia ni kusoma comments za big man Le mutuz aka Le Mijasho, lazima ni laugh out loud, you knw hahah
 
- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa

Le Big Show

hahahahahah lemutuz
 
Kwa kweli kwa hili wewe ni mzalendo na uwe mfano kwa watoto wengine wa ze vigogoz
 
Uzi wa upuuzi wa Le Mutuz una kurasa 21!

Sasa kati ya Le Mutuz na sisi wachangiaji sijui nani mpuuzi.

Kiranga
uliyasema jana haya.

- Mamen Ngabu U know this is wasap maan leo Red Capert all Big Celebs hapa town tumealikwa U know lazima uwe Celeb, halafu next week all big Celebs hapa mjini tumealikwa Kampala unalipwa kila kitu na Super Zari U know le mbebez ila lazima uwe Big Celeb kama mimi U know so hawa super gademu chicken empty heads mburulazzz madebe matupu waacha wapige kelele U know sisi tunakwenda kwa mbele U know juzi nimeangusha bonge la show Tegeta it was a hype U know, halafu leo uko kutakuwa na mabebezz u know super kama vipi so let me know when U coming bongo again maan I love bongo maan nisingekuwa Big Celeb kama huko I was just another nigger on the street sio huku mamen huku it is all about red carpet U know juzi nilikuwa Maisha Club kama kawa Red Carpet so U know I love it!! hahahahahahahahqahhahhh U know

Ma nigga you cracking me up for real.

But I ain't mad atcha.

Just keep doing you and if niggaz hate let them hate and sit back and watch the money pile up.

After all, the only thing worse than being talked about is not being talked about.
 
- Leo All big Celebrities hapa mjini tumealikwa kwenye Preview ya Movie mpya Obey, vipi wewe na wewe Big Celeb umealikwa au utasubiri kuona picha tu kama kawa? hahahahahahahahahah U know

Le Mutuz

Do u knw the meening of being a celebrity momba le mav.uziz?
Kualikwa bongo movie ndo iwe tabu? Nyoko wee
 
- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa

Le Big Show

Kua na degree tatu tu tena career tofauti tu ni ukichaa aisee
Kwann usingesoma zote tatu tukakuita dk.william malecela now?
We kweli le mavuziz aisee
Unajisifia kua na degree tatu badala ya zimejusaidiaje?
 
gwijimimi

- Mbona unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hapa hatuyahitaji kuyajua mkuu hapa sio Momabasa eti, kuhusu Escape One naomba nikuulize Instagram Party ya kwanza waliingia wangapi? hahahahahahahah mtakufa na vijiba shongoni sisi tunavuta pesa tu U know!!, umesikia kivumbi cha Tegeta juzi nilipompelekea Juma Nature ilikuwa ni balahaaaa

Le Mutuz

Le mavuziz mkuu jifunze kudanganya aisee
Acha jutaka sifa za kijinga huna uwezo wa kukusanya pipo 5000ww plus ukumbi unaotaja almost kila mtu anaujua na anatuliaga hapo kila weekend so acha porojo zisizo na maada dude
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz hewani. Ila sijamuelewa kabisa, Degree tatu zake zimeishia kuwa mpiga show za night clubs. Labda angefanya matamasha ningemwelewa, au labda anasanya hela za kutafutia ubunge?!
Ova

mwenzako anapiga hela za matangazo kama nini. we shangaa tu
 
gwijimimi

- Unahangaika na ID mpaka ufe mimi mwendo ni ule ule huwezi kuwa na Degree 3 ukaja kwa majina ya bandia hapa kufuatilia maisha ya Wanaume kama wewe lazima uwe huna elimu kwanza, U know hahahahahaha U know

Le Big Show

Dude am not yo level aisee
Siko levo moja na watengeneza blog ambao hamjui hata maana ya "code " au "programing "ni nn
Maxene akijiambia maneno hayo ya shombo /akinitukana ntakubali ila sio ww mbulula aisee
Huna tofauti na sinta ujue
Whats the difference btn ww na mange? Au kisa mange ana mbunye? Dude camoon kwa akili hzo kweli ulitaka ukawe mbunge wa afrika mashariki? What a shame tanzania?
 
Last edited by a moderator:
mwenzako anapiga hela za matangazo kama nini. we shangaa tu

Hakuna hela yoyote ya maana kwa show za kwenye night clubs, aachane na haya mambo ya pesa mbuzi, yeye ni Malecela ujue, na ana Degree tatu.
Ova
 
mmmmnh mwacheni baba wa watu,if you were happy with your selves and you make more money than him,you wouldnt sit corwadly behind your computers and start insulting him......pathetic!
 
- Mamen Ngabu U know this is wasap maan leo Red Capert all Big Celebs hapa town tumealikwa U know lazima uwe Celeb, halafu next week all big Celebs hapa mjini tumealikwa Kampala unalipwa kila kitu na Super Zari U know le mbebez ila lazima uwe Big Celeb kama mimi U know so hawa super gademu chicken empty heads mburulazzz madebe matupu waacha wapige kelele U know sisi tunakwenda kwa mbele U know juzi nimeangusha bonge la show Tegeta it was a hype U know, halafu leo uko kutakuwa na mabebezz u know super kama vipi so let me know when U coming bongo again maan I love bongo maan nisingekuwa Big Celeb kama huko I was just another nigger on the street sio huku mamen huku it is all about red carpet U know juzi nilikuwa Maisha Club kama kawa Red Carpet so U know I love it!! hahahahahahahahqahhahhh U know

Le Big Show

Le Ng'ombez U know!
 
mmmmnh mwacheni baba wa watu,if you were happy with your selves and you make more money than him,you wouldnt sit corwadly behind your computers and start insulting him......pathetic!

No one is insulting him
Excuse me
 
U knw dis dud...e le ngom....bbbeeee.........zzzzz in neither he nor she so
 
Back
Top Bottom