Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa
Le Big Show

Uzi wa upuuzi wa Le Mutuz una kurasa 21!
Sasa kati ya Le Mutuz na sisi wachangiaji sijui nani mpuuzi.
Kiranga uliyasema jana haya.
- Mamen Ngabu U know this is wasap maan leo Red Capert all Big Celebs hapa town tumealikwa U know lazima uwe Celeb, halafu next week all big Celebs hapa mjini tumealikwa Kampala unalipwa kila kitu na Super Zari U know le mbebez ila lazima uwe Big Celeb kama mimi U know so hawa super gademu chicken empty heads mburulazzz madebe matupu waacha wapige kelele U know sisi tunakwenda kwa mbele U know juzi nimeangusha bonge la show Tegeta it was a hype U know, halafu leo uko kutakuwa na mabebezz u know super kama vipi so let me know when U coming bongo again maan I love bongo maan nisingekuwa Big Celeb kama huko I was just another nigger on the street sio huku mamen huku it is all about red carpet U know juzi nilikuwa Maisha Club kama kawa Red Carpet so U know I love it!! hahahahahahahahqahhahhh U know
Le Big Show
- Leo All big Celebrities hapa mjini tumealikwa kwenye Preview ya Movie mpya Obey, vipi wewe na wewe Big Celeb umealikwa au utasubiri kuona picha tu kama kawa? hahahahahahahahahah U know
Le Mutuz
- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa
Le Big Show
gwijimimi
- Mbona unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hapa hatuyahitaji kuyajua mkuu hapa sio Momabasa eti, kuhusu Escape One naomba nikuulize Instagram Party ya kwanza waliingia wangapi? hahahahahahahah mtakufa na vijiba shongoni sisi tunavuta pesa tu U know!!, umesikia kivumbi cha Tegeta juzi nilipompelekea Juma Nature ilikuwa ni balahaaaa
Le Mutuz
Le Mutuz hewani. Ila sijamuelewa kabisa, Degree tatu zake zimeishia kuwa mpiga show za night clubs. Labda angefanya matamasha ningemwelewa, au labda anasanya hela za kutafutia ubunge?!
Ova
gwijimimi
- Unahangaika na ID mpaka ufe mimi mwendo ni ule ule huwezi kuwa na Degree 3 ukaja kwa majina ya bandia hapa kufuatilia maisha ya Wanaume kama wewe lazima uwe huna elimu kwanza, U know hahahahahaha U know
Le Big Show
Mkuu huyo jamaa ana matatizo... achana nae tu
mwenzako anapiga hela za matangazo kama nini. we shangaa tu
- Mamen Ngabu U know this is wasap maan leo Red Capert all Big Celebs hapa town tumealikwa U know lazima uwe Celeb, halafu next week all big Celebs hapa mjini tumealikwa Kampala unalipwa kila kitu na Super Zari U know le mbebez ila lazima uwe Big Celeb kama mimi U know so hawa super gademu chicken empty heads mburulazzz madebe matupu waacha wapige kelele U know sisi tunakwenda kwa mbele U know juzi nimeangusha bonge la show Tegeta it was a hype U know, halafu leo uko kutakuwa na mabebezz u know super kama vipi so let me know when U coming bongo again maan I love bongo maan nisingekuwa Big Celeb kama huko I was just another nigger on the street sio huku mamen huku it is all about red carpet U know juzi nilikuwa Maisha Club kama kawa Red Carpet so U know I love it!! hahahahahahahahqahhahhh U know
Le Big Show
mmmmnh mwacheni baba wa watu,if you were happy with your selves and you make more money than him,you wouldnt sit corwadly behind your computers and start insulting him......pathetic!
Hakuna hela yoyote ya maana kwa show za kwenye night clubs, aachane na haya mambo ya pesa mbuzi, yeye ni Malecela ujue, na ana Degree tatu.
Ova