William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Eti ni kweli mama kilango anakuamkia shikamoo.au uzushi
- Lets say ni kweli unafikiri inapunguza au kuongeza nini in my Super life, mwendo wangu wa maisha ni ule ule mamen pata hii picha juzi usiku with Miss Commonwealth Tanzania/Africa 2014 Super Mulky from UK tulikuwa tunakula bataz za ubatan at Mbezi Beach U know just having fun U know, nataka uelewe kwamba sijawahi kuamuliwa maisha na mtu it is my life and I love it, hupendi si ufe mkuu hahahahaha - Le Mutuz
