Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Eti ni kweli mama kilango anakuamkia shikamoo.au uzushi

- Lets say ni kweli unafikiri inapunguza au kuongeza nini in my Super life, mwendo wangu wa maisha ni ule ule mamen pata hii picha juzi usiku with Miss Commonwealth Tanzania/Africa 2014 Super Mulky from UK tulikuwa tunakula bataz za ubatan at Mbezi Beach U know just having fun U know, nataka uelewe kwamba sijawahi kuamuliwa maisha na mtu it is my life and I love it, hupendi si ufe mkuu hahahahaha - Le Mutuz
 

- Sasa nimekuelewa nakumbuka kuna mdada mmoja anyefanya kazi Clouds Media, niliwahi kumblock kule Instagram maneno yako yanafanana sana na maneno yake, pole sana ila mimi ndio Le Mutuz sio tu matamasha ila sasa ni mwendo wa Radio na TV, sasa nakuomba uwaashauri wananchi wote wasiangalie au wasisikilize Radio yetu hahahahahah kama utaweza, wewe ni lile kundi la Miss Tanzania waliofungiwa miaka 2 kwa sababu ya moto wangu so naelewa hasira yako hahahahaha relax hapa hakibadiliki kitu ila mwendo ni ule ule huwa sisingizii viongozi juzi nilikuwa nyumbani kwa waziri mkuu uliona picha U know ndio zangu maneno na matendozzzz U know!!

Le Mutuz
 

Aisee just one comment u had to reply it twice?? Keep on guessin grand pa but that changes nuthin, U celeb?? Give me a break baba, no body knowa u apart from hao few IG users, kwanza fungua hio TV na Radio then I promise u ntakua wa kwanza kukucheka, then naelewa kwa nn wanawekaga umri wa kustaafu, nimekupa mifano ya kina Msando na Bikira but sijakulinganisha nao babu, and kama hapa TZ ndo unaishi stress free life basi huko Ulipokua unaishi kabla ya TZ ulikua hell, and unafikiri wananchi wanashauriwa kuangalia au kusikiliza, kizuri cha jiuza.. labda hio radio ubaki kwenye utawala maana kama nakuona aibu yako.. F.Y.I ule mnazi uliokojolea naskia unakauka.. then kumbe miss TZ ilikua na kundi?? Na imefungiwa miaka miwili?? Baasi subiri siku wakifunguliwa ujipendekeze.,
 

- HAHAHAHAH ujumbe umefika mnarukia rukia watu msiowajua unaona sasa hahaha mimi ndio Le Mutuz Nation The King of All Bongo Social Media Network, uliyoyasikia na kuimbishwa hapa sio kweli mimi ndio the real deal sasa nenda utafute maisha yako au endelea kulia lia hapa na majina ya bandia ila mimi mwendo ni ule ule kama kawa kama kawaida!! hahahaha

- Radio na TV zitakuwa ni a big hit kwa sababu nitakuwa na vipindi maalum asubuhi kama ninavyofanya Instagram na Blog, so stay tuned na coming soon unajipendekeza kama sio Celebrity huwa ninaalikwa huwezi kwenda ninapoenda bila kualikwa U know

Le Big Show
 

Hahaha U wish babu,, U wish,, the real deal?? Keep on dreamin utaendelea kua ass licker mpaka ufe, lets wait and see hio the so called big hit, and I promose u Iki heat I will personaly apologise(am sure haitahit) then maisha yangu nayafuata at bru as u claim to know me basi utakua unajua Kua I earn my livin babu.. teh teh teh where were u maskin ujanani saa hii ndo unakurupuka wakat akili ishabuma.. byee babu
 

- Sijawahi kufanya anything kikabuma pole sana ndio maana umebuma cause unafikiria kubuma tu all your life, siku kila ninachofanya huwa kinaleta majibu kwa sababu ninatumia akili nyingi sana kutayarisha kila ninachofanya kuanzia ile Instagram Party ya kwanza Escape One, Miss Ilala Kempisk, All White Party Escape One, ndio mambo yangu always!!

- Kama ninaweza kujaza page 27 JF akili ikiwa imebuma imagine ilipokuwa bado ingekuwaje? hahahahahahahaha ila by the way haya matamasha nilikuwa ninayafanya hata nikiwa majuu!!

Le Mutuz
 

hahahahaha. Aisee .. You know nimeongea na viongozi wakuu wa nchi hii waifungue miss Tanzania wamenielewa teh teh teh le mutuz bana
 
hahahahaha. Aisee .. You know nimeongea na viongozi wakuu wa nchi hii waifungue miss Tanzania wamenielewa teh teh teh le mutuz bana

- Yaap nipo kwenye watsap group ya Viongozi wakuu wa Tanzania, nimeipeleka hii ishu wameielewa na kuna walioahidi kuisimamia bungeni kusudi wafungiwe Kamati tu ya Miss Tanzania na sio wasichana, yes upo right nilisema this!!, infact ni Mbunge Ngeleja aliyeahidi kulivalia njuga bungeni!!

Le Mutuz
 

Juzi jmos?what da hell grandpa juzi ulikua samakisamaki ya masaki Mesa moja na Linux na kifem chako mawigi kaka manyoya ya kondoo
Unang'aza tu sharubu na hakuna Wa kukushobokea
Unajisifiasifia tu pambaaf ulivaa mshati kama guni na miraba mibaya sijui nani anakuchaguliaga pamba duuu
 

Hujawah kubuma?plz grandpa give me a break aisee
Kufanya turn degree tatu(as u so claim to)ni ukichaa kwann usingefanya of the same course now uitwe dokta?
Jibu ni moja tu "Sifa za kijinga"
 

Sifa za kijinga hizi wewe ndio ulileta hizi evidence?
 

Attachments

  • 1420450106163.jpg
    61.5 KB · Views: 179
  • 1420450131572.jpg
    50.4 KB · Views: 182
  • 1420450193534.jpg
    55.9 KB · Views: 169
Sifa za kijinga hizi wewe ndio ulileta hizi evidence?

Na alimtafuta Siti mpaka akapiga naye picha!Ivi haujawahi piga naye picha?maana nawewe ni Celeb kweli,metoka kwa Sintah u r all over the comments!!
 
Na alimtafuta Siti mpaka akapiga naye picha!Ivi haujawahi piga naye picha?maana nawewe ni Celeb kweli,metoka kwa Sintah u r all over the comments!!

Mimi hizo blog za Sintah na Mange huwa sipitagi kabisa, blog ninayotembelea mimi ni Mjengwa blog tu basi hata kwa Michuzi sipitagi naona napoteza bundle bure.
 
Mimi hizo blog za Sintah na Mange huwa sipitagi kabisa, blog ninayotembelea mimi ni Mjengwa blog tu basi hata kwa Michuzi sipitagi naona napoteza bundle bure.

Haha haaa,kuna mmoja analalamika ulimtukana ananuka papuchi jamani!
 
Mimi hizo blog za Sintah na Mange huwa sipitagi kabisa, blog ninayotembelea mimi ni Mjengwa blog tu basi hata kwa Michuzi sipitagi naona napoteza bundle bure.

Kaoshe jicho kuna mambo mengi mengi ya kuosha macho!
 
Ok nipitie topic gani? Maana mimi hizi blog mgeni kabisa nitaingia huko sasa hivi kwa ushawishi wako.
Kuna topic ya pili kamwongelea Antie Ezekiel,sasa kuna comment ya mtu ni out of topic(OOF) wanaita,sasa kuna watu wamefunguka...
 
27 pages and counting about so called upuuzi wa Le Mutuz.

That right there is proof that, hands down, Le Mutuz is king.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…