27 pages and counting about so called upuuzi wa Le Mutuz.
That right there is proof that, hands down, Le Mutuz is king.
Labda King kwako
Kurasa ya 28 tayari...
Hahahahaaaaa
Le Mutuz is killing it.
was expecting shit like this but at least not from u mkuu
was expecting shit like this but at least not from u mkuu
It's the truth.
Yaani upuuzi wa Le Mutuz unajadiliwa na watu ambao supposedly wana akili za kutosha and it's 28 pages and counting.
What does that say about those people?
Huyo ni Rais wa wabeba mabox hawezi kumtosa raia wake ambaye amestaafu box.
Huyo ni Rais wa wabeba mabox hawezi kumtosa raia wake ambaye amestaafu box.
Ukikata gogo ikulu sidhan kama utajadiliwa na page mbili jf
plus his age his fatherZ status/reputation damn nyani u r letting me down
Do you know how old he is?
Mimi ninachojuwa ni classmate wa Mizengo Pinda sasa kadilia hapo.
Mimi nasema ukweli tu.
Hivi wewe mwenyewe huoni kama ni jambo la ajabu watu kumdiscuss Le Mutuz na upuuzi wake?
Yaani tuna discuss upuuzi wa Le Mutuz na kujaza makurasa yote haya kuhusu upuuzi?
Nijuavyo mimi upuuzi hupuuzwa.
Evidently hapa ni kinyume chake.
Kilichopo ni obsession na Le Mutuz.
I mean, nani na akili zake timamu anajadili upuuzi na kujaza makurasa yote haya?
Umejuaje ni classmate wa Mizengo Pinda? Ulisoma nao darasa moja?
- Hahahahahaha U nailed it yaani ndio maana I love JF cause ujanja wangu wote na online business unaanzia hapa U know, thank U mamen kuona ukweli kwamba wanachokisema sio wanachokisema ila wanasema opposite kwamba wananizimia sana big Celebrity, The King Of All Bongo Social Media Network unajua this is wasap juzi nilivuta dela ya kuitangaza Samaki Samaki na ni baada ya kumuonyesha owner wa Samaki Samaki this thread he was just shocked U know kwamba unaweza kuwa the topic ya page zote hizi tena JF na yeye anaijua, so thanks guys nawaheshimu sana ila akili ni nywele sana kwamba wao wanadhani ni negativity kumbe ni gold kwangu, thank U guys!!
Le Mutuz
Ngoja nikujibu kimantiki sasa maana naona kakugongea like kabisa.
Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.
Ngoja nikujibu kimantiki sasa maana naona kakugongea like kabisa.
Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.
Ukiona watu wanakujadili sana ujue wanakukubali ila wanaona noma tu kukiri hadharani.
I mean seriously, just use your common sense for a minute...umeona wapi upuuzi wa mtu unajadiliwa kwa wingi hivi tena kila mara na kujaza miukurasa kibao?
Upuuzi gani huo ulio popular hivyo?
Ma nigga...these people admire you a whole hell of a lot but they just can't bring themselves to admit that they do.
I call them secret or closet admirers.
- Kwa kawaida ukimtaka demu huwa wanauliza umri wako Mamen, ndio maana nauliza eti wewe ni Mamen kweli au? hahahahahahah
Le Mutuz
- So Pinda ana hiyo Miaka? hahahahahahahah