Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Huyu jamaa ni ndugu na trump i guess maana haishiwagi pumba kichwani mwake
 

- Ratiba yangu ni kesho nitakuwa Mwanza kwa mualiko wa Rockcity Mall at Mwanza for Instagram Party nitarudi Jumatatu, halafu Jumatano ninaondoka tena kwenda Nairobi kwa mualiko wa Citizen TV, nikirudi naelekea South Africa kwa mualiko wa Glenfiddich Whiskey Inc., nikirudi itakuwa ni safari ya Dubai kwa mualiko wa the Official Launch of Clouds Media Cable Channel so nitakuwa busy Internationally na my Social Media works mpaka kati kati ya Mwezi May ndio nitapumzika kidogo hapa home Dar,

- Now jipime tena mkuu una fit wapi in my life, Samaki Samaki nipo nao for the last 2 years, kama ni Wabebezz hao sina tatizo nao tena wa ukweli au unataka nikupe picha hapa niliyekuwa naye jana?


- hii ilikuwa jana na Super Star Actress Mariam at Maisha Basement now tizama ana wigi huyu au wewe ndio umevaa wigi? hahahahahahahahha


- Hii ilikuwa juzi with Super Star Actress Nishe Chande, now hebu angalia tena kama maneno yako ni ukweli maana huwa sina muda na wabebezz wasi wasi hahahahahahahah

le Mutuz
 
hili zee halinaga akili!

- So kujiita Dr. na picha ya bandia unasema ndio kuwa na akili? hahahahahaha mbona kama umejisema mwenyewe kuwa ni mburulazzz maana mtu mwenye akili hawezi kujiiita DR. na picha ya bandia akitumia jina la bandia, unasema una akili mkuu? kama unazo basi sizitaki tena hahahahahaha

le Mutuz
 
Humble man wape na Yale mapicha ya kule Nigeria, ulikokuwa hivi karibuni kwenye awards, wakukome.
 
rock city mall hali ni tete hapa, FFU wanapiga mabomu ya machozi kuzuia watu waliojaa hadi kufika villa park na the kiss wakitaka kumuona king wa sosho media mwenye ma endorsements ya ajabu .
 

Hivi ni kweli ANNE KILANGO anakuamkia?

Halafu shati ulilovaa mbona la kichina Yale ya elf 12?
 
- Wewe si ulisema nina umri kama wa Pinda leo umebadilika tena huujui? hahahahahaha mnanichekesha sana U know!!

le Mutuz

Acha kujipa utoto wewe uwe sawa na Pinda? Pinda umemzidi umri sana tu....
We si upo na 65 now rika la kina JK!!!

Laana mbaya wenzio wamejukuu we unahangaika kucheza na watoto....
 
T
rock city mall hali ni tete hapa, FFU wanapiga mabomu ya machozi kuzuia watu waliojaa hadi kufika villa park na the kiss wakitaka kumuona king wa sosho media mwenye ma endorsements ya ajabu .
Tupia picha
 
mkuu, usisahau kupiga picha ukila breakfast ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…