by the way before I comment...is this guy (Le Mutuz) under 17?
by the way before I comment...is this guy (Le Mutuz) under 17?
jamaa namkubali sana huyo
This kid is approaching 60's...
Mie aliniblok..
Hivi mtu akikublok ukataka kumfollow tena unafanyaje
Hahahaaaaa chezea Le Mutuz wewe,Tanzania ilisimama kwa lisaa lizima kusubiria tamko la Le Billionaire....
Hahahahaha uknw nafanya biashara ya utumbo hivyo madebe natupu hawanisumbui kabisa! Hahahahhah I like ..
Heheh Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika, atunzwe!
Mpe heshima yake muite Old boy.
Le mutuz anaakili m anacheza na vile vitu tunavyopenda kuvisikia umbea umbea wa Ngonongono weeee nothing else ! Raia walikuwa wanasubiri hilo Tamko utadhani wanasubiri tamko la kuchaguliwa kwenda Mbinguni ! Simshangai hana kazi na hizo ndizo dili zake zenye mashiko zinazompa wadhamini na Mtaji wa kushika viuno vya Mabebizzz Mjini !
huyu jamaa anajijuaga mwenyewe na akili zake
jamaa namkubali sana huyo