Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Hili kabila la wagogo linashida loh..........
Wengi wao magumashi
Kabisa la wavivu WA kufikiri na wavivu w kufanya kazi......
Ndo maana wengi
wao ni
OMbaomba
 
Hahahahaha uknw nafanya biashara ya utumbo hivyo madebe natupu hawanisumbui kabisa! Hahahahhah I like ..
 

Attachments

  • 1415740665631.jpg
    1415740665631.jpg
    55.5 KB · Views: 797
Hahahaaaaa eti now this is "LE SUPER TAMKOZZ"
Nimecheka hatariiiiii long live Le Mutuz....
With you....no more stress

Bila shaka nifah utakuwa hujacheka kabisa hahahahahah uknw I love it ....letamkoz
 

Attachments

  • 1415740764721.jpg
    1415740764721.jpg
    43 KB · Views: 751
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa chezea Le Mutuz wewe,Tanzania ilisimama kwa lisaa lizima kusubiria tamko la Le Billionaire....

Uknw Mimi ni celebrity mkubwa tz hivyo nikisema jambo watu wote wanasubiri .... super gardem mazafantza hawaelewi kabisa hahahahaha I like it
 

Attachments

  • 1415740926318.jpg
    1415740926318.jpg
    45.7 KB · Views: 794
Heheh Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika, atunzwe!

Hahahhahaha umenichekesha sana kwa hiyo lemutuz hana tofauti na mapango ya amboni au Twiga na faru wetu hahahahaha super gardem mbulurulaz hawajui nafanya biashara ya utumbo wanabaki kupiga kelele hahahahahaha another day ...another dollar ...I love it
 

Attachments

  • 1415741197072.jpg
    1415741197072.jpg
    50 KB · Views: 715
Katika siku niliyo amini kuwa Lemutuz ni mtu wa pekee hapa duniani na ni vigumu kukutana na mtu kama yeye ni nilipo ona hili tamko.....hahahaha
 
Le mutuz anaakili m anacheza na vile vitu tunavyopenda kuvisikia umbea umbea wa Ngonongono weeee nothing else ! Raia walikuwa wanasubiri hilo Tamko utadhani wanasubiri tamko la kuchaguliwa kwenda Mbinguni ! Simshangai hana kazi na hizo ndizo dili zake zenye mashiko zinazompa wadhamini na Mtaji wa kushika viuno vya Mabebizzz Mjini !

hahaha...anaongeza fans ktk page yake kila siku...wadhamini wanampa mtonyo...siku zinaenda...
 
Back
Top Bottom