Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.
 
Attachments

  • 1415648481057.jpg
    1415648481057.jpg
    59.4 KB · Views: 8,743
Le mutuz anaakili m anacheza na vile vitu tunavyopenda kuvisikia umbea umbea wa Ngonongono weeee nothing else ! Raia walikuwa wanasubiri hilo Tamko utadhani wanasubiri tamko la kuchaguliwa kwenda Mbinguni ! Simshangai hana kazi na hizo ndizo dili zake zenye mashiko zinazompa wadhamini na Mtaji wa kushika viuno vya Mabebizzz Mjini !
 
Mmhm project gani jameni diamond kumbaishia zari?? Kweli hiyo SPECIAL PROJECT
 
  • Thanks
Reactions: amu
Le mutuz anaakili m anacheza na vile vitu tunavyopenda kuvisikia umbea umbea wa Ngonongono weeee nothing else ! Raia walikuwa wanasubiri hilo Tamko utadhani wanasubiri tamko la kuchaguliwa kwenda Mbinguni ! Simshangai hana kazi na hizo ndizo dili zake zenye mashiko zinazompa wadhamini na Mtaji wa kushika viuno vya Mabebizzz Mjini !

Hahahaaaaa chezea Le Mutuz wewe,Tanzania ilisimama kwa lisaa lizima kusubiria tamko la Le Billionaire....
 
mh kweli kina mama wengine wanasafisha matumbo jamaa asingezaliwa bimkubwa angesumbuliwa na michango.
 
Back
Top Bottom