Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ningependa unielewe vyema mimi ni mmoja ya watu ninaopenda uwepo wako hapa na unaniongezea siku za kuishi.
Lakini tatizo langu kwako umekuwa mdandiaji wa kila tukio kwamc wewe unalijuwa, watoto kama kina Diamond ni wa umri wa wewe kuwazaa, pamoja unafanya biashara ya blogu lakini lazima ujiwekee limit tuwaheshimu watoto na hata mama zao hata kama tumedivorse, they deserve better than this.
Kuna Mambo akiyafanya Sinta au Mange Kimambi wala hakuna wa kushangaa lakini siyo wewe wa kufanya hayo, kumbuka hata connection unazopata leo si kwa jina la Willy bali Malecela amefanya kazi nzito kutengeneza jina ambalo wewe unaharibu hata image yake.
Wewe umekaa Marekani unafahamu kuna majina kama Ford, Rockerfella and likes yanatunzwa kizazi na kizazi, sasa kwa mwenendo wako huu watoto wako na wajukuu zako wakati wewe umeshakufa na Mzee Malecela kafa je watanufaika na jina hili? Unaacha legacy gani? Think big.
Le Mutuz we mkali na kukubali kwenye haya mambo mengine lakini kwenye siasi za chama chenu kaa mbali kabisa u kno.
We pimbi kaa kimya kwanza pale ulipopiga picha na omar ni vingunguti transport section... proove me wrong
Matola Ona mzee wa degree tatu hata kuandika "Lager" hajui.
- Eti ni degree au Degree? Si unatakiwa kuanza na D kubwa au hahahahahahahahha
Le Big Show
Teh teh mkuu hili jamaa ni pumbavuu la hali ya juu omar bakhresa kawaambia walinzi getini kwake huju jamaa akija wamkimbize kama mwizi.
Last time alienda kwa omar bakhresa alidanganya ana dili ya hela kumbe alitaka kupiga picha tu sasa mwarabu kamstukia
huyu jamaa anajijuaga mwenyewe na akili zake
Hata sijui... labda kuna comments zangu zilimkera.. wakati nilikuaga full kumsapoti akitukanwa na kina dougiemasta
Mie mwenyewe alikua ananichekesha nikianka asubuhi nakutana na post zake kama 7
Hahaha kamanda wangu faby umenivunja mbavu zangu hapo,
Yaani hili jamaa usiku likiwa linalala nadhani huwa linaandika kabisa majina ya watu ambao halijapiga nao picha, asubuhi linaanza kazi ya kuwavizia tu kila kona,
Kwa kanuni gani?
Halafu hujajibu.
Ni Windhoek Lager au Windhoek Larger?
Do you even know the difference?
Miaka yote NY ulikuwa unafanya nini dude?
Kwani anazo?!!....lol
- Kwa hiyo unasema kwamba kuandika degreee ni sawa haya mkuu hahahahahahahaha
Le Mutuz
Tatizo la huyu jamaa ni muoga sana kuna wakati anapost upuuzi wake... Ukimkosoa tuu.. Akimbilia kukublock pia me kaniblock
Nimekuuliza kama si sawa si sawa kwa kanuni gani?
Pia, habari ya "Lager" au "Larger" hujaijibu.