Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

- Lakini vipi ni Degree au degree si ujibu kwanza ndio upate authority ya kuuliza au? hahahahahahah

Le Mutuz

Ni degree. You don't capitalize the first letter of a word in the middle of a sentence without a reason justified by the known laws of the language in question.

What is your reason for requiring capitalization?

Back to you.

Ni Windhoek Larger au Windhoek Lager?
 
- hahahahaha ona mbuluazzzz mwngine huyu hapa mazafantazzzzz so wewe unazo lakini umekuja kumsoma na kumjibu asiyekuwa nazo? hahahahahahhaha le gademu mburulazzzzz

Le Mutuz

Le gademuz mazafanta u know!!.
Le madebe matupuz u know
 
- The King of All Bongo Social Media Network U know, nimechaguliwa kuwa mmoja wa Viongozi Wakuu wa Tanzania Bloggers Association ikiwa na maana pamoja na JF, sasa utafanya nini utajitoa hapa au? hahahahahahahahahahahaha

Le Big Show

Hahaha sasa kule Inst ulitublock vip huku mkuu
 
Ni degree. You don't capitalize the first letter of a word in the middle of a sentence without a reason justified by the known laws of the language in question.

What is your reason for requiring capitalization?

Back to you.

Ni Windhoek Larger au Windhoek Lager?

- Kwa hiyo popote unaweza ukakulupuka ukasema degree? Hiyo ndiyo shule ile ya Kansas City au hahahahahaaaa

Le Mutuz
 
Hahaha sasa kule Inst ulitublock vip huku mkuu

- Nimesema na ninarudia tena ukitaka kuandika ujinga wowote kunihusu njoo huku au nenda FB au nenda kwenye wall yako Insta, ila kwenye Insta yangu hakuna hiyo nafasi kipi usichoelewa hapo?

Le Mutuz
 
le mutuz naomba kupiga picha na wewe....

Hahahahahaha uknw nitaangalia kama timetable itaruhusu maana kuna watu wengi wana subiri kupiga picha na Mimi tena mabebiz wakarez super lemtindiz. ...nawapenda hadi nasinzia uknw...hahahahahaha I like it!
 
Attachments

  • 1415809091567.jpg
    1415809091567.jpg
    41.1 KB · Views: 400
- Nimesema na ninarudia tena ukitaka kuandika ujinga wowote kunihusu njoo huku au nenda FB au nenda kwenye wall yako Insta, ila kwenye Insta yangu hakuna hiyo nafasi kipi usichoelewa hapo?

Le Mutuz

Uknw nawaombea msamaha uwarudishe unajua wewe ni mtu maarufu hawawezi kulala bila kusikia letamkoz kutoka kwa King of all social media hahha I love it!
 
1. Matukio yananifuata huwa siyafuati hata siku moja, sijawahi kwenda popote kwenye matukio bila kualikwa kwa sababu watengeneza matukio ni Celebrities wanajua nani ni mwenzao, so wananialika pole sana kama huwa hualikwi ila huwezi kualikwa kwa Ma Celebrity kama wewe sio ndio maana hualikwi wewe sio Celebrity mimi ni Big Celebrity ndio maana kwenye Birthday Part ya Aunt Ezekiel nilialikwa na ndio Dinner ya Muungano ya Rais nilialikwa Ikulu, wewe ni no body ndiuo maana huwezi kualikwa sehemu kama hizo ni kwa sisis big Celebrities tu!!

2. Michael Jackson alipokutana Quincy Jones mpaka akamsaidia kutengeneza Album ya kwanza vipi umri wao ulikuwaje? Wewe inaonekana ni mjinga flani hivi toka uzaliwe hujawahi kutoka nje ya Yombo na Kipawa hapo unapokaa maana huwezi kuwa na exposure ya maisha ukasema kwa nini unakuwa na rafiki asiye na umri kama wako, kaka nenda hata Nairobi usafishe macho maana upo nyumba sana, I mean Zari na Diamond vipi umri wao unasema upo sawa? MAtola sikujua kwamba uwezo wako wa kuikiri ni mdogo hivi, hahahahahahahaha I mean watoto wangu umelalia macho kila siku wanakuhusu nini mjinga wewe, wale watoto wamezaliwa USA ni raia wa US hawana muda wa ujinga kama wako, so unasema wewe watoto wako unawaheshimu sana kwa mwanaume mzima kwenda instagrama za wanaume wengine usiwajua na kuanza kuhamisha habari zao kuleta huku JF na kuanza kuwatukana kwa majina ya bandia unasema huo ndio ushujaa kiwa watoto na mke wako? Wewe hujaona picha za watoto wangu na Diamond alipoenda USA unafikiri kwa nini aliwatafuta na kupiga nao? Wewe huna akili mkuu tuliza boli Mwanaume haheshimiki na watoto wake kwa kuwa mbeya na mtunga majungu kama wewe, hahahahahahahaha

3. Nimetengeza jina la Le Mutuz Nation na I make a lot of money behind it, event ya Le Tamkoz limenipatia jumla ya Shillingi Millioni 3 just like that wewe jaribu uone kama utapata hata senti tano, mkuu nyamaza ingawa ninafurahi kwa mba unanisaidia sana kuniongezea jina ila kila ninapokusoma unaonekana una chuki sana na mimi nakuonea huruma sana mimi ninaishi downtown nina degree 3 ninaishi maisha yangu tena kwa raha na mstarehe wewe unawashwa na nini hasa kila siku kulia lia hapa kama mwanamke mwenye mimba?

4. Hapa ni Tanzania hao uliowataja wamarekani wananihusu nini mimi Le Mutuz Big Show? Kwa nini wewe umefanya nini hapa Tanznaia cha kukupatia legacy unayoisema unasema unawaachia watoto wako Legacy ya kutukana watu JF kwa majina ya bandia au what? I mean unaandika ujinga ujinga all the times why? Kama kweli unajiheshimu na unaheshimiwa kama unavyodai kwa nini basi usionyeshe heshima kwa kuja hapa na jina lako la ukweli angalau kidogo nitakuheshimu kuliko kudai unaijua heshima kwa majina ya bandia please nyamaza mkuu!

- hahahahahahahaha mkuu mimi ndio hivyo Tarehe 22/11/2014 naangusha the best ever pale Escape 1 sasa nimetoka kuongea na Wadhamini wakubwa hapa mjini hebu na wewe jaribu kwenda kuongea nao kama watakupa hiyo nafasi ila mimi wananitta wenyewe tuongee kuhusu kudhamini event yangu so please wachana na mimi mkuu jiangalie mwenyewe hapa ninapoandika hii post nipo ofisini kwangu wewe je unaandikia wapi mkuu? hahahahahahah tuliza boli mimi I am making money maadili kaa nayo, halafu unawasemaje Waandishi mbali mbali wa habari nchini walionichagua jana vipi na wao ni wajinga kama mimi ila mwenye akili ni wewe tu? Unaamini kwenye waandishi wote wa jana pale hawawepo wanaoingia hapa na kukusoma sasa kwa nini wamenichagua?

- Mkuu leo nimeamua kukusaidia kidogo mimi sio level yako inapokuja kwenye kufikiri, ninaweza kucheka na ninaweza kuwa serious kama leo hahahaaaaaa

Le Mutuz

Mkuu wagu nakushuru sana kwa kuandika gazeti lote hili hii ina maana sindano imekuingi haswaa.

Nimebanwa kidogo na majukumu usiku huu ila nakuacha na swali ulijibu ili tuendelee na mjadala nikimaliza majukumu, unatushutumu kwa kutumia fake ID kutukana watu sasa swali langu kwako kati ya mimi Matola fake ID na William Malecela verified user ni nani kati yetu ni mmiliki wa ID ya Field Marshal Es? Hii ni ID ambayo imetumika muda mrefu hapa JF kumtukana matusi Rais Kikwete na pia inahusika na utapeli wa ajila za ughaibuni. Sasa leo nakuacha uchi watch the show.

Nikifika home kwenye pc nitaweka mabandiko yote ya Field Marshal hapa, na ukumbuke thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwenye kikwapa.

Cc: Kiranga Tyta
 
Last edited by a moderator:
- Kwa hiyo popote unaweza ukakulupuka ukasema degree? Hiyo ndiyo shule ile ya Kansas City au hahahahahaaaa

Le Mutuz

Nimekuuliza ni kanuni gani inayotaka neno degree liwe capitalized hapo? Hujanijibu.

Nimekuuliza ni "Windhoek Larger" au "Windhoek Lager" hujanijibu.

I have never been to Kansas City in my life.

Nikafuate nini?
 
Mkuu wagu nakushuru sana kwa kuandika gazeti lote hili hii ina maana sindano imekuingi haswaa.

Nimebanwa kidogo na majukumu usiku huu ila nakuacha na swali ulijibu ili tuendelee na mjadala nikimaliza majukumu, unatushutumu kwa kutumia fake ID kutukana watu sasa swali langu kwako kati ya mimi Matola fake ID na William Malecela verified user ni nani kati yetu ni mmiliki wa ID ya Field Marshal Es? Hii ni ID ambayo imetumika muda mrefu hapa JF kumtukana matusi Rais Kikwete na pia inahusika na utapeli wa ajila za ughaibuni. Sasa leo nakuacha uchi watch the show.

Nikifika home kwenye pc nitaweka mabandiko yote ya Field Marshal hapa, na ukumbuke thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwenye kikwapa.

Cc: Kiranga Tyta

Asante mkuu show ndio imeanza wapi Le mbululazz, Le big six Pack tuendeleze show
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza ni kanuni gani inayotaka neno Degree liwe capitalized hapo? Hujanijibu.

Nimekuuliza ni "Windhoek Larger" au "Windhoek Lager" hujanijibu.

I have never been to Kansas City in my life.

Nikafuate nini?

Labda nimsaidie tu kwa msaada rahisi ni kwamba tunalazimika kuanza kwa herufi kubwa tunapoanza sentensi na kama ni katikati basi ni jina la mtu.

Na kimantiki hata kama ingekuwa kweli degree katikati ya sentesi inastahili herufi kubwa bado haujatoka kwenye mstari kuliko yeye anayecomfuse Larger na Lager.

Huyu ni dhahiri hajawasoma Thomson na Thompson enzi za ujana wake.
 
Asante mkuu show ndio imeanza wapi Le mbululazz, Le big six Pack tuendeleze show

Aisee naona una hamu ya ligi kwelikweli,mimi pia natamani ila sidhani kama Le Mutuz atakubali....
 
Nimekuuliza ni kanuni gani inayotaka neno Degree liwe capitalized hapo? Hujanijibu.

Nimekuuliza ni "Windhoek Larger" au "Windhoek Lager" hujanijibu.

I have never been to Kansas City in my life.

Nikafuate nini?

Hahha we nae uking'ang'aniaga kituu
 
Back
Top Bottom