- Great Thinker anatakiwa kuongea kwa hoja, Le Mutuz ni muongo kwa moja mbili na tatu, ukweli ni kwamba it is one two and three!!
Le Mutuz
Bungeni mbona hukusemaga kua una degree tatu wakati una wania ubunge wa east africa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Great Thinker anatakiwa kuongea kwa hoja, Le Mutuz ni muongo kwa moja mbili na tatu, ukweli ni kwamba it is one two and three!!
Le Mutuz
Bungeni mbona hukusemaga kua una degree tatu wakati una wania ubunge wa east africa mkuu?
Hili swali huwa nataka kuuliza kila siku ila nasita nadhani jamaa ni Profesa kabisa.
- Hakuna aliyeniuliza Bungeni, ila kwenye uchaguzi wa Baraza Kuu la Wazazi, UVCCM Taifa nna Mkutano Mkuu wa CCM Taifa waliniuliza, ok guys!!
Le Mutuz
umeona mambo ya bikra juzi golden ? ndio ujue we ni bwwege tu mjini hapa.
- Hakuna bwwege mwenye Degree 3 mimi nipo Arusha toka juzi sijui ya huko na sina mashindano na mtu nikirudi ninaangusha bonge la event na Diamond, so kaa mkao wa kula sishindani na mtu na sijui kumetokea nini mbona sijaona kwenye mitandao hasa Instagram au alifanyia nyumbani kwako? hahahahaha
- Halafu naomba kukuuliza on a serious tone aliwekeza shillingi ngapi na alipata ngapi in return, mimi nilipofanya Escape One mara ya mwisho nilikwekeza Tsh. Millioni 13, in return nikauza tikects 5,500 x 10,000 na nikalipwa gharama yote niliyowekeza na wadhamini pamoja na gate collection kuwa yangu, lete mahesabu ya huko mkuu sana! hahahahahahah mimi sikuja mjini mtumzima nilizaliwa Ocean Road U know hahahahahaha
Le Big Show
Na huu ni mwanzo tu subiri, utachezeshwa sana nusu uwanja hapa mjini. Mtu corridor za mitikasi umeanza kupita juzi alafu unataka ujifanye unayajua sana haya mambo, hizi ishu zinawenyewe acha kelele.
Le Mutuz lini harusi yako!
Kuhusu alichoingiza utaisoma tu, watu ful mandinga full kukubali mziki.
Sea man, kuoa vipi tena useme aina haraka wakati umri unayoyoma.- Huku Arusha nimekuja kutengeneza mipango ya kufungua Radio na TV maana serikali imeshatupa kibali tayari by the end of next month nitakuwa hewani, kuoa bado haina haraka sana kwanza tunatafuta pesa mbongo U know!!
Le Mutuz
Sea man, kuoa vipi tena useme aina haraka wakati umri unayoyoma.
Nakumbuka disco lako la Pool Side.
Sijui lakini kwa muonekano wako una miaka 58 au 60.- Wewe unaujua umri wangu?
Le Mutuz
Sijui lakini kwa muonekano wako una miaka 58 au 60.
Yeah man! Mbona umewaka sana mimi kuuliza umri wako, ni jambo la kawaida kuulizwa, wewe mbona umeuliza umri wa Mwenyekiti wa Chadema wewe ni demu!- hahahahahaha siku nikifikia huko nitakwambia sijafika Mwenyekiti wa Chadema ananizidi umri na hajafikia huko so back off halafu naomba kuuliza wewe ni Mwanaume au Demu? maana haya mambo ya umbeya mbeya na majungu huwa yana wenyewe U know hahahahaha
Le Mutuz
- Umekuja mjini mtumzima, nilipokuwa ninapiga Disco na kina DJ Wshington DC, John Pantalakis, Joe Kusaga. Holela, Seydu, Kali Kali wewe ulikuwa hujaja mjini, nilipokuwa ninapiga events za IFM na JKT Ruvu wewe ulikuwa hujaja mjini, wakati ninafanya hizi events New York City/USA ulikuwa nkwenu mashambani, wakati ninapiga Disco downtown Manhttan ulikuwa bado upo kwenu vijijini, so ninachofanya mkuu ni muendelezo tu huwezi kuja mjini ghafla ukafanya event na kuingiza watu 5,500 hahahahaha haijwahi kutokea mpaka uwe mzoefu, sasa ninakuja na show 3 Mwanza, Arusha na Dar with Diamond utaisoma namba zote na waliokutuma hahahahahahahahah
Le Mutuz
Hahahahah we jamaa kikongwe sana dah,yaaani acha tu....ndio maana vijana wadooogo wakikufungisha tela unaugua stress.
Yeah man! Mbona umewaka sana mimi kuuliza umri wako, ni jambo la kawaida kuulizwa, wewe mbona umeuliza umri wa Mwenyekiti wa Chadema wewe ni demu!
Le Mutuz mimi niliomba kazi kwako!!ukauchuna tuuu!!haya nakukumbushia naomba kazi bwana!!