Upweke huu ni hatari…

Upweke huu ni hatari…

Laleki so afanye punyeto ya nzi..[emoji1787]
Wewe pamoja na adabu zako heshima zako unatumia dakika zako kutafuta nzi ili wakufikishe kunako! What a way!!.. a fucking creative way..[emoji1787]
Inzi kivipi?
 
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!

Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!

Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!

Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!

kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!

Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!

unaonekana hauko sawa!!!!!!

Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.
Tena nikuibie siri, kinachowaponza wengi, ni kupata maziwa, hivyo wanajiona kama unaweza kupata tuu maziwa, sasa ufuge Ng'ombe wa nini?. Kumbe hawajui, hao ng'ombe wa kuokoteza wanatoa maziwa mapesi, kwasababu wanakamuliwa na wengi, ila ukifuga Ng'ombe wa kwako mwenyewe, sio tuu, anatoa maziwa mazito, bali hutoa maziwa na asali, ni matamu balaa!, tena unakamua kwa kujinafasi kama ilivyo kwenye kula nanasi kwataka nafasi, na zabibu ni zako mwenyewe, uzile taratibu.
Wengine huogopa jela kuingia kifungoni!, hawajui!, ukiisha ingia kwenye commitment yale mengine ndio balaa!, kama ilivyo kwa the forbidden fruit, is the sweetest!.
P
 
...

Ni stress tu zikiisha Utaacha kuwaza hivi.
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!
Waliokuzunguka wanatosha.
Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Huu ujinga ni kweli na sikupendi balaa.
Mtu anakwambia "hii kazi huwezi kupata kwasababu hujaoa" HUWA WANAKERAA.
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!
Find Financial Knowledge.
kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!
Kuna wale best friends.
Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
Panga vizuri na kichwa chako.
unaonekana hauko sawa!!!!!!
Ni mawazo yao tu.
Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicc
Ili uache kumbukumbu SIO LAZIMA UOE.
Kuna sisi tuna watoto kibao ila hatujaoa.
USIOE
USIOE
USIOE

#YNWA
 
Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.
Tena nikuibie siri, kinachowaponza wengi, ni kupata maziwa, hivyo wanajiona kama unaweza kupata tuu maziwa, sasa ufuge Ng'ombe wa nini?. Kumbe hawajui, hao ng'ombe wa kuokoteza wanatoa maziwa mapesi, kwasababu wanakamuliwa na wengi, ila ukifuga Ng'ombe wa kwako mwenyewe, sio tuu, anatoa maziwa mazito, bali hutoa maziwa na asali, ni matamu balaa!, tena unakamua kwa kujinafasi kama ilivyo kwenye kula nanasi kwataka nafasi, na zabibu ni zako mwenyewe, uzile taratibu.
Wengine huogopa jela kuingia kifungoni!, hawajui!, ukiisha ingia kwenye commitment yale mengine ndio balaa!, kama ilivyo kwa the forbidden fruit, is the sweetest!.
P
Unataka kumuingiza mwenzio kwenye janga la kuoa.!?
Kuna raia nafanya nao Kazi huku wapo kwenye ndoa.

Yaani siku mojamoja Wana visirani na hasira balaaa.

Kisa eti wenzao..!!!

NDOA NDOANO.

Nyie ndio mnampoteza, ndoa ni tamu jamani!. Just imagine kula chakula chako mwenyewe vs kula chakula cha wote.
P
 
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!

Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!

Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!

Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!

kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!

Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!

unaonekana hauko sawa!!!!!!

Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
Lol
 
Nzi atachelewa.Tumia nyuki..kitu faster
Huwa wanaongea "fear concerntration" kwa kuogopa kung'atwa na hofu inakufanya uoige bao faster ..Kila ukiguswa...si unakumbuka enzi zile za shulen ukichelewa paper na time imeisha halaf msimamiz aktangaza " 5 minutes left" lazima upige bao 😂
 
Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.
Tena nikuibie siri, kinachowaponza wengi, ni kupata maziwa, hivyo wanajiona kama unaweza kupata tuu maziwa, sasa ufuge Ng'ombe wa nini?. Kumbe hawajui, hao ng'ombe wa kuokoteza wanatoa maziwa mapesi, kwasababu wanakamuliwa na wengi, ila ukifuga Ng'ombe wa kwako mwenyewe, sio tuu, anatoa maziwa mazito, bali hutoa maziwa na asali, ni matamu balaa!, tena unakamua kwa kujinafasi kama ilivyo kwenye kula nanasi kwataka nafasi, na zabibu ni zako mwenyewe, uzile taratibu.
Wengine huogopa jela kuingia kifungoni!, hawajui!, ukiisha ingia kwenye commitment yale mengine ndio balaa!, kama ilivyo kwa the forbidden fruit, is the sweetest!.
P

Daah ndo nimeelewa [emoji4][emoji4]

Kweli humu ni great thinkers[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Ishi utakavyo ila usivunje sheria
Ndoa ni bomu la kujitoa muhanga

Binafsi nitakuwa na mwanamke ila kuoa itakuwa ni kipengele
 
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!

Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!

Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!! Kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!! Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!

Unaonekana hauko sawa!!!!! Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa

Britanicca
binafsi nilipofika miaka 28 tu nikaoa tena kwa ndoa, na muda huo ndo nilikuwa naanza tu maisha nimemaliza chuo sio mda mrefu, sikuhitaji hata ushauri wa mtu kwasababu siwezi kuishi peke yangu hata iweje.
 
Unataka kumuingiza mwenzio kwenye janga la kuoa.!?
Kuna raia nafanya nao Kazi huku wapo kwenye ndoa.

Yaani siku mojamoja Wana visirani na hasira balaaa.

Kisa eti wenzao..!!!

NDOA NDOANO.

#YNWA
Na hata wasiooa pia wanakuwaga na kisirani, ukisimama nchale,ukikaa nchale 😁😁😁 kazi anayo
 
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!

Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!

Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!! Kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!! Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!

Unaonekana hauko sawa!!!!! Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa

Britanicca
Hahaha
 
Back
Top Bottom