Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Inzi kivipi?Punyeto haitaisha kwa staili hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inzi kivipi?Punyeto haitaisha kwa staili hii.
Inzi kivipi?[emoji1][emoji1][emoji1] tena atafute wale nzi waliokomaa wanaopatikana ktk kile kipindi Cha msimu wa maembe,atakuja hapa kushukuru mkuu
Inzi kivipi?Laleki so afanye punyeto ya nzi..[emoji1787]
Wewe pamoja na adabu zako heshima zako unatumia dakika zako kutafuta nzi ili wakufikishe kunako! What a way!!.. a fucking creative way..[emoji1787]
Inzi kivipi?Tafuta nzi na mfuko wa barafu,shida zako nzi atazitatua bila shida yoyote Ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta nzi na mfuko wa barafu,shida zako nzi atazitatua bila shida yoyote Ile.
Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!
Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!
kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!
Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
unaonekana hauko sawa!!!!!!
Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
Ni stress tu zikiisha Utaacha kuwaza hivi.Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Waliokuzunguka wanatosha.Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!
Huu ujinga ni kweli na sikupendi balaa.Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Find Financial Knowledge.Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!
Kuna wale best friends.kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!
Panga vizuri na kichwa chako.Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
Ni mawazo yao tu.unaonekana hauko sawa!!!!!!
Ili uache kumbukumbu SIO LAZIMA UOE.Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicc
Unataka kumuingiza mwenzio kwenye janga la kuoa.!?Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.
Tena nikuibie siri, kinachowaponza wengi, ni kupata maziwa, hivyo wanajiona kama unaweza kupata tuu maziwa, sasa ufuge Ng'ombe wa nini?. Kumbe hawajui, hao ng'ombe wa kuokoteza wanatoa maziwa mapesi, kwasababu wanakamuliwa na wengi, ila ukifuga Ng'ombe wa kwako mwenyewe, sio tuu, anatoa maziwa mazito, bali hutoa maziwa na asali, ni matamu balaa!, tena unakamua kwa kujinafasi kama ilivyo kwenye kula nanasi kwataka nafasi, na zabibu ni zako mwenyewe, uzile taratibu.
Wengine huogopa jela kuingia kifungoni!, hawajui!, ukiisha ingia kwenye commitment yale mengine ndio balaa!, kama ilivyo kwa the forbidden fruit, is the sweetest!.
P
Nyie ndio mnampoteza, ndoa ni tamu jamani!. Just imagine kula chakula chako mwenyewe vs kula chakula cha wote.Unataka kumuingiza mwenzio kwenye janga la kuoa.!?
Kuna raia nafanya nao Kazi huku wapo kwenye ndoa.
Yaani siku mojamoja Wana visirani na hasira balaaa.
Kisa eti wenzao..!!!
NDOA NDOANO.
#YNWA
LolKuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!!
Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!!
kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!!
Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
unaonekana hauko sawa!!!!!!
Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
Nzi atachelewa.Tumia nyuki..kitu faster😄😄😄 tena atafute wale nzi waliokomaa wanaopatikana ktk kile kipindi Cha msimu wa maembe,atakuja hapa kushukuru mkuu
Huwa wanaongea "fear concerntration" kwa kuogopa kung'atwa na hofu inakufanya uoige bao faster ..Kila ukiguswa...si unakumbuka enzi zile za shulen ukichelewa paper na time imeisha halaf msimamiz aktangaza " 5 minutes left" lazima upige bao 😂Nzi atachelewa.Tumia nyuki..kitu faster
Duh, kumbe wewe Mkuu britanicca, bado?!. Vuta fastal!.
Tena nikuibie siri, kinachowaponza wengi, ni kupata maziwa, hivyo wanajiona kama unaweza kupata tuu maziwa, sasa ufuge Ng'ombe wa nini?. Kumbe hawajui, hao ng'ombe wa kuokoteza wanatoa maziwa mapesi, kwasababu wanakamuliwa na wengi, ila ukifuga Ng'ombe wa kwako mwenyewe, sio tuu, anatoa maziwa mazito, bali hutoa maziwa na asali, ni matamu balaa!, tena unakamua kwa kujinafasi kama ilivyo kwenye kula nanasi kwataka nafasi, na zabibu ni zako mwenyewe, uzile taratibu.
Wengine huogopa jela kuingia kifungoni!, hawajui!, ukiisha ingia kwenye commitment yale mengine ndio balaa!, kama ilivyo kwa the forbidden fruit, is the sweetest!.
P
binafsi nilipofika miaka 28 tu nikaoa tena kwa ndoa, na muda huo ndo nilikuwa naanza tu maisha nimemaliza chuo sio mda mrefu, sikuhitaji hata ushauri wa mtu kwasababu siwezi kuishi peke yangu hata iweje.Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!! Kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!! Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
Unaonekana hauko sawa!!!!! Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
Na hata wasiooa pia wanakuwaga na kisirani, ukisimama nchale,ukikaa nchale 😁😁😁 kazi anayoUnataka kumuingiza mwenzio kwenye janga la kuoa.!?
Kuna raia nafanya nao Kazi huku wapo kwenye ndoa.
Yaani siku mojamoja Wana visirani na hasira balaaa.
Kisa eti wenzao..!!!
NDOA NDOANO.
#YNWA
HahahaKuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa!!!
Extravagant , Yaan una spend bila control ya mtu wa karibu!!!!! Kuna Muda unatamani kupata wa Ku share naye matatizo Lakin inakuwa shida!!!!! Unakosa wa kupanga naye maendeleo!!!!
Unaonekana hauko sawa!!!!! Tujitahidi tutafte wenza maana ukitoweka Muda huu na jina ndo linafutika hivyo
Nijipatie biyaaa
Britanicca
PumbaaNa hata wasiooa pia wanakuwaga na kisirani, ukisimama nchale,ukikaa nchale 😁😁😁 kazi anayo
And so?!Pumbaa