Binadamu tumeumbwa kwa namna ya tofauti....
Kuna ukweli tukiambiwa tunakimbia na uongo tunakubali....
Wakati niko mschana wanaume waliokuwa wananitongoza na kutaka tufanye mapenzi nilikuwa nawaambia nikipata mimba je...!?? Mambo ya kuanza kukimbizana mimba yako mara katoe siyataki...
Wananijibu tutatumia Condom.
Nawaambia tukapime HIV, wanasema sasa kama tunavaa Condom kuzuia mimba itaswihi n HIV hakuna haja ya kupima.
Nawaambia je, ukiambiwa huyu dada amepimwa na amegundulika na virusi vya HIV ila anataka mfanye mapenzi kwa kutumia Condom....!
Wanaruka futi mia, weeh huko ni kujichoma mtu ushajua kabisa ana ngwengwe hapo hata ndom haisaidii.....!
Hivi mtoa mada asingeweka wazi mhitaji ni mke wa mtu, nyanaume kibao zingemiminika kuloweka mguu....!