financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Atakayeenda kutembea na huyo mke wa mtu, ajiandae kabisa na mafuta kwe kibegi chake maana linda lake litakua hatarini. "Mke wa mtu ni sumu"
Huyo dada kama anaona hajaliwi na mumewe si aombe talaka tu awe free kutafuta mume mwingine, why anamtaka na huyo asiyemjali?
Huyo dada kama anaona hajaliwi na mumewe si aombe talaka tu awe free kutafuta mume mwingine, why anamtaka na huyo asiyemjali?