Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

Niko Dear, uje unisaidie kwenye biashara ya Kitimoto.!
 
Hapana me nimeongea hivyo ili imrahihishie muhitaji mimi ninapenda kuwa na wanawake niliyowazidi umri au tunaolingana au kama kanizidi basi mwaka 1-3 basi kwa Mtoa mada kama kapita vigezo vyangu maana mimi nipo Kati ya 25-27
ppa ulipie tangazo na wewe😅😅
 
Nimepungukiwa vigezo tu hasa kwenye umri,,,but najua umedhamilia kabxa legeza kigezo tuyajenge
 
Haiwezekani ujue had nyuz za makapu forum na kula kimasira Alf nije nikuoe
 
we una umri gani? nisije kuja PM kumbe jimama la 50yrs?
 
Ukisoma comments jobless mapovu yanawatoka [emoji1787],
Wakati mpo chuo mlikua mnawang'oa kwa Wali Maharage na Mihogo ya Buku, mmekuja Kitaa kila Mwanamke kigezo AWE NA KITU KINACHOMUINGIZIA KIPATO [emoji23][emoji23]

Vijana, Tafuteni HEEEEEEEEEEEE......LAAAAAAAAAAAAA.
 
Poa ngoja nikupm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…