Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

Akipata mwanaume humu.Alete mrejesho.

Wanawake tafuteni hela zenu.

Aseme atanafuta ajira ieleweke. Na siyo upwekee umemchosha[emoji28][emoji28]

Na akiliwa kimasihara,Uzi wa rikiboy uko wazi asisahau kutuwekea comment sisi wasomaji[emoji1]
Sahau
 
Labda apate wahuni kama aina ya kina mzabzab !

Wazee wa hit n run!
 
...
JamiiForums-19372771.jpg
 
Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.

Mume wa mtu haitajiki.
Umri uwe 28 mpaka 30..
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato.
Asiwe mrefu kupitiliza.
Atoke mkoa wowote tu. Mengine tutaelezana pm.
Kwa aliye serious tu tafadhali.
Look no further. The man you’re looking for is finally here. Grab this opportunity now!!! Note: terms and conditions apply. This advertisement has been vetted and approved by the Single & Searching Committee.
 
Ukijifunza kuukabili upweke itakusaidia sana katika kipindi ambacho Mungu huwa kama amenyamaza ( hakupi unachotaka)
Itakuepusha na mengi sana my Dear.
Subiri tu wa kufanana nae atakuja & hata asipokuja pia Inshaallah!
wakati mwingine kutulia ni bora zaidi 😊 sio kila kitu kitatokea kwa kila mtu! Waweza kuwa chochote nje ya mapenzi ... Jikubali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ah nilizama pm mweee!! Nilivyomwambia tuu mie bodaboda na maomgezi yaliishia hapo hapo.

Wadada wa jf wanataka wenye degree....sie makapuku tunaonekana takataka tuu. Vipi wee upo single?
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa bodaboda mna ubayagani dada hayuko serious
 
Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.

Mume wa mtu haitajiki.
Umri uwe 28 mpaka 30..
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato.
Asiwe mrefu kupitiliza.
Atoke mkoa wowote tu. Mengine tutaelezana pm.
Kwa aliye serious tu tafadhali.
ulifanikiwa?
 
Me mwenyewe upweke umenichosha nahitaji girlfriend nimpendeeee
 
Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.

Mume wa mtu haitajiki.
Umri uwe 28 mpaka 30..
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato.
Asiwe mrefu kupitiliza.
Atoke mkoa wowote tu. Mengine tutaelezana pm.
Kwa aliye serious tu tafadhali.
Umempata kama aujampata niku pm mpenzi wangu mtalajiwa
 
Back
Top Bottom