Sijambo.....Marahaba hujambo?
Haya.
Je kiben20?Kiben10 hapana
Wewe una umri gani hadi nikusalimie?
Amina BlakiUkafanikiwe hitaji la moyo wako. Japo hao wa 40-45 wanataka vibinti 20-30
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh upo haraka sana ku judge..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..
Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Maisha nilianza nilipokuwa 20's, pole sana...............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..