Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

Doh sijui nilikuwa wapi mda wote huu... Ngoja nakuja pm
 

Acha kupunguza umri mkuu sema kwel ili mungu akupe kiukweli
Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
 
Yani upweke ulio nao haufikii hata nusu kwa huu wangu.
I wish niwe na girlfriend niwe nashinda naye, story n.k but ni ngumu.
 

Nakuonea huruma kwa sababu unaweza kuwa mpweke/mwenye huzuni maisha yako yote.... Kwa sababu unategemea furaha yako 100% toka kwa MTU mwingine.... Poleeee!!!!
 
Hapo umegundua umr bado ya nyuma ya pazia,
Ujasiriamali kupitia jf na uchumba , wa zaman walinufaika ila sasa sidhani kama bado inawalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu itafika wakati watakuja kuwapigia hodi wanaume kuwa nataka kuolewa na flani yupo?
 
hivi upo unatafutwa sana na Aisha kila jukwaa anasema hakuoni
 
hakuna kitu kama hiko, kuna mtu ameweka avatar kama ile yako ya kitoroli nilijua ww umebadili jina akaniambia mm mgeni kabisa
Maana nimeona vigezo vya wanao tafuta wachumba vimekuwa vigumu kuvielewa
1. Elimu
2.ujasilia Mali
3.kazi
Hapo unajiuliza anatafuta mke/ mme au anatafuta kimoja kati ya nilivyo vitaja

Hiyo sio Mimi mi nina ID moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…