MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
ACHA NIJARIBU BAHATI YANGU AISEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio jambo la kushangaza, ratio ya Tanzania ni 4:1.Una kichaaa ww
Kwahiyo mleta mada nianze kumuita wifi?[emoji6]Kweli Mungu hamtupi mja wake, ngoja niwahi mapema kabla hii pension ya Coroshow haijaisha.
Na cha kufurahisha zaidi mimi ni chotara wa Kisukuma, Kihaya na Kinyamwezi.
Kubwa zaidi nina uzoefu mkubwa kwenye kukoroma wakati nimelala , hata mbu hawatokusogelea.
Karibu my future wife.
Wewe wasemaKwahiyo mleta mada nianze kumuita wifi?[emoji6]
Wewe wasema
Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila lolote akiwa Msukuma, Muhaya na Mnyamwezi nitafurahi zaidi.
Awe anajishughulisha kwa chochote, sitaki wanafunzi wa chuo ni wasumbufu aisee. Nahitaji mahusiano ya kudumu aliye serious ani PM.
Ninaishi Mbezi Msakuzi nyumba yangu kubwa nahitaji mwanaume wa kuunguruma jamani.
NB: Muonekano wowote, kilema si ugonjwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo weekend hii nije kukutembelea Mbezi Msakuzi kwa dada wifi sio?[emoji23]
Naomba usimpotezee muda mngoni wa watu kama ulivyonipotezeaga mimi. Kama huna nia ya kweli usimzibie rizki yake[emoji57][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo lako uchochezi umekuzidi.
Hapo nilikua najikumbushia enzi zangu kama bado nipo fit.[emoji39]
Aisee, tatizo lako bayana unaficha na ya sirini unaleta hadharani[emoji57]Naomba usimpotezee muda mngoni wa watu kama ulivyonipotezeaga mimi. Kama huna nia ya kweli usimzibie rizki yake[emoji57]
Hakuna siri hapo, ni ukweli ulio bayana[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, tatizo lako bayana unaficha na ya sirini unaleta hadharani[emoji57]
Wacha weeh, kwaiyo ukaona ntafaidi sana kwenda kuishi Mbezi ukaona uniharibie.Hakuna siri hapo, ni ukweli ulio bayana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mpango wangu ushafanikiwa akikujibu hata PM moja tu ukatoe kafara la shukrani!Wacha weeh, kwaiyo ukaona ntafaidi sana kwenda kuishi Mbezi ukaona uniharibie.
Wewe kile kigezo chako cha "Pesa mbele kama tai" sikiwezi kwakweli.