DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
Alafu wake wengi wa wanajeshi wanachepuka sana na wanahonga mno nahisi kuna namna wanajeshi aidha wanapewa dawa za Kupunguza nguvu za Kiume maana nina list ndefu sana ya wake wa wanajeshi wanaochepuka mtaani na kuna ambao hata wanalipa watafutiwe GEN Z wa kumkaza. Mimi kwa sababu ndoa yangu ni mpya nawakwepa sana ila wapo wengi mno yaani wana upwiru sio kawaida