Flowerpot
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 215
- 309
Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.