Kweli kabisa, mimi mwenyewe nimeona bora niongeze projects kwenye portfolio ni deal na local people. Nitajaribu fiverr nione mkuu. Ngoja tukomae. 💪Upwork kugumu sana kuna wataalamu wa tech kibao na wahindi wamesababisha kazi ziwe na malipo kidogo.
Mimi nafanya Graphic Design ila nimeachana kabisa na majukwaa ya freelance na-focus kutengeneza portfolio yangu na kuji-brand. Pia najipika zaidi kwenye Web Development (full stack).
Ni heri kutumia Fiverr na kutengeneza strong portfolio ukiwa na price nzuri kwa top quality work lazima upate clients. Muhimu ni kuiva vizuri kwenye kitu unachofanya, wote waliofika juu wameanzia moja muhimu kukaza tu.
Mkuu umeweza vipi ku-verify account ya fiverr? ID ya NIDA wanakubali?Upwork kugumu sana kuna wataalamu wa tech kibao na wahindi wamesababisha kazi ziwe na malipo kidogo.