Hyo unverified na verified payment Ina maana Gani au ipi ndo inafaa niiaply
View attachment 2659904
Mkuu nimefurahi kuona uzi niliowahi kuchangia miaka 2 iliyopita. Natamani kuelewesha sana changamoto hivi vitu sio rahisi kama ambavyo mtu anaweza kufikiria.
English to Swahili translation job inahitaji CAT Tools to maintain image and texts formats which you cant handle without the tools. You may either use SDL trados, MemoQ, .....
Bila kupata cracking software kuzinunua original ni 400+ usd.
Kufupisha baada ya kuona uzi wa freelancing ama Upwork wekeza kwenye mitandao soma Youtube, jisajili upwork community kuna kuwaga na free webnars ni bando lako tu.
Baada ya mwezi mmoja mpaka miwili ukiwa serious umewekeza muda na resources utaanza kunua nini unafanya.
Niseme ukweli hamna shortcut wala pesa za bure ni kufanya kazi haswaa.
Hata mtu akisema anilipe nimfundishe inamhitaji na yeye aweke juhudi nitamwelekeza nusu saa kuhusu may be kutengeneza portfolio but itamgarimu masaa aingie canva, aperuzi freelancers wengine ndio atengeneze ya kwake.
Next session nitamfundisha searching strategy maybe 40 minutes but hes suppose to spend many hours practicing.
Nitaelezea how to write a winning proposal, negotiating skills and more may be 20 minutes but supposed to dig more and more.
Pia algorithm zina badilika so freelancers needs also to change by aequire new skills. Its possible but not easy.
Kuna watanzania wanalipwa 40$/hr huyu mwamba anaitwa julius P. Kessy ...search the man upwork utamwona......nadhani by professional ni daktari yupo Njombe ameingiza zaidi ya 70k usd about 160 million.
Kazi zake ni English to Swahili translation.
Haimaanishi ukicharge 5-10 ndo utapata clients. Pia hata jamaa nayeye alianza Zero, kama mimi na wewe na pia hajaxaliwa USA alisikia na kuniongeza.
Nilipopata 1k nilifurahi nikizani nitaanza kupokea tu invitation nikafika 5+ wapi kila siku game ni ngumu zaidi ya jana.
Its possible but not easy and no one can teach you everything, and No one knows everything even the top rated plus freelancer with about 100K+ earnings.
Mtu usione komenti na kukimbilia inbox mkuu nifundishe just ingia kwanza online pata ata ka knowledge kidogo ndio uje. Sio mtu unamwelekeza anakuambia eti bro ivi ni kweli hizi kazi zipo????
Unaniuliza ivi kazi yangu ni kukuaminisha au kukuelekeza ata kama ukiwa umenipa ya bando but indirectly inakatisha tamaa kuendelea kukuelekeza.
Mtu anataka uneanza kumwelekeza j3 basi ijumaa ameshapata kazi imipita week 2 bila bila mwezi tayari amepotea haingii tena online!!!! Ni kama umefungua kampuni ukitegemea sababu umejisajili basi tenda utapata tu ndani ya wiki au mwezi!!!
Freelancing isiwe main job hii ifanye side job ipe muda unaweza pata kazi 4 tu kwa mwaka na ukatengeneza 3k+ ambazo unaweza kuwa umezifanya chini ya miezi 3 tu.
Mwaka unaofuata wale uliowafanyia anaweza kurudia ata mmoja akakupa kazi kubwa kuliko ndio trends inakwenda hivyo.
Na kutokana na profile yako sasa kuonekana umewahi kulipwa 3k+ clients wanaanza kuona wewe ni reputable na kukutumia job invitations. Mwisho wa siku na wewe unakuwa top rated [emoji832] unapandisha malipo yako labda from 10$/hr to 25$/hr na unapata kazi.
Utaanza kupata kazi njee ya platforms na maujanja mengine lakini sio ufundishwe wiki hii next week uanze kutengeneza 200$+ per month. Hii inawezekana ila naweza kusema ni bahati kati ya watu 100 mtakaokuwa mmefundishwa basi 5 tu ndio wanaweza kupata hiyo bahati na nahakika lazima Watauga na added advantage.