Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)

Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)

Mkuu nielekeze mkuu namie nianze kupiga hela. Ku bid ni nini?
Mkuu my formula ni simple tu, fikiria what you can do nikimaanisha skills ulizonazo, then jiunge labda fiverr.com, upwork.com, freelancer.com, utest.com then omba kazi unazoweza zile zinazokuwa posted na clients. Zifanye kwa uhakika.

Mfano utaona nimefanya jumla ya kazi 16, ila kazi mbili ndizo zimenipa 3:4 ya mapato yote ya upwork kwakuwa ni ongoing projects hizo 14 nilikuwa ninafanya zinakwisha mfano utaona hapo kuna project ya jana nimeimaliza na imekuwa ended hiyo ya east africa Hub.

Lakini kama kazi nyingine yoyote, inahitaji uwe patient hasa ukiwa mpya maana inaweza kukuchukua muda kupata client. Na keep in mind siyo pesa ya bure maana unafanya kazi kama kazi nyingine
 
Mkuu my formula ni simple tu, fikiria what you can do nikimaanisha skills ulizonazo, then jiunge labda fiverr.com, upwork.com, freelancer.com, utest.com then omba kazi unazoweza zile zinazokuwa posted na clients. Zifanye kwa uhakika. Mfano utaona nimefanya jumla ya kazi 16, ila kazi mbili ndizo zimenipa 3:4 ya mapato yote ya upwork kwakuwa ni ongoing projects hizo 14 nilikuwa ninafanya zinakwisha mfano utaona hapo kuna project ya jana nimeimaliza na imekuwa ended hiyo ya east africa Hub.
Lakini kama kazi nyingine yoyote, inahitaji uwe patient hasa ukiwa mpya maana inaweza kukuchukua muda kupata client. Na keep in mind siyo pesa ya bure maana unafanya kazi kama kazi nyingine
Sawa kaka, kama bongo tunafanyishwa kazi viwandani kwa 10hrs na kulipwa 5000 na hatuachi kwenda, unafikiri kutakuwa na ugumu gani wa kufanya kazi ya kulipwa 100,000 kwa masaa yale yale?! Tutachapa kazi tu
 
Kama una hiyo spirit basi you will make it unaweza pia jaribu freelancer, kwa mwezi huu nimeshalipwa zaidi ya usd 600 huko so unaweza try pia
View attachment 1520737
Mkuu nimeshajisajili freelancer.com inaonesha jamaa hawana complications kama upwork. Naomba nielekeze jinsi ya ku set profile ili nipewe kazi namimi! Napenda za data entry zaidi.
 
Mkuu nimeshajisajili freelancer.com inaonesha jamaa hawana complications kama upwork. Naomba nielekeze jinsi ya ku set profile ili nipewe kazi namimi! Napenda za data entry zaidi.

Mkuu, kupata kazi si ku-set profile pekee. Ni mchanganyiko wa mambo kama 3 hivi.

1 • Uwezo wakumshawishi client kwamba wewe ndiye best candidate katika kazi husika.

Hapa itabidi utumie sana personality yako kwamba angali unaanza kubid kazi husika client akisoma tu proposal yako mstari wa kwanza anasema yes.

Nafahamu kwa hakika, inachukua muda mchache tu client kugundua freelancer fulani anamfaa.

2 • Profile yako inabidi iwe authentic katika namna umeelezea ujuzi ulio nao.

Hapa wengi wanafeli.

Sababu ni rahisi tu. Watu wengi si original. Nadhani umenielewa copy & paste. Wanadhani wakifanya hivyo profile zao zitakuwa “zimeshiba”. Nop, mtu mwenye akili akisoma ananusa tu harufu ya ulaghai.

3 • Luck

Ndiyo.

Sometimes ni bahati tu.

Client anaweza akakupa kazi kwasababu amependa tu haiba yako.

Ndiyo maana ninasema sana kuhusu kujenga personality nzuri.

Sasa haya yote huwezi jifunza hapa JF kwa kusoma maandishi pekee.

Ndiyo maana ukisema “nifundishe” hapa JF wakati wote hai make sense.

I hope you understand my point.

Cheers [emoji1635]
 
Naomba nielekeze namna wewe umeset profile.
 
Naomba nielekeze namna wewe umeset profile.

Mkuu,

I must say this.

You are looking for shortcuts.

Mimi kwenye profile yangu nimeelezea skills nilizo nazo na vile ninavyoenda kumsaidia client/kuongeza value kwenye project yake.

Hiyo ni kwa kukujibu.

Ni kazi yako kufahamu namna gani utatumia tip hiyo nimekupatia kuset profile kama unavyoita.

Labda nikusaidie zaidi, kama wewe kweli ni labda kwa mfano ni Copy writer basi uonyeshe hivyo katika profile yako kwa namna ya kwamba unafahamu unachojaribu kuelezea.

Ndiyo maana ninakwambia unahitaji mafunzo zaidi itakusaidia kuokoa muda.

I can’t write eeeeverthhing on JF. Itabidi niache kazi zangu zote.

Pay me money[emoji383]

Mkuu acha hizo, Hii ni REAL KNOWLEDGE [emoji433] [emoji432] [emoji146][emoji1674]
 
akuchague
Post nzuri sana. Ila umeshindwa kutwambia how to win!! Umeishia tu kusema beginners wanafeli hapa na pale. Mimi naomba utwambie beginners tufanye nini ili tufaulu kwa hizi proposal zetu?? Kwa kifupi tufanye nini sasa ili na sisi tuonekane haraka? 🙏
 
Uzi huu ni mzuri sana, naendelea kujifunza mengi.
Nafanya kuonesha nina ujuzi gani wa kumshawishi mteja kwenye:-
Electrical Wiring Installation ( VETA Level II),
Swahili- English Translator ( kidogo), na skills nyingine za kujiongeza.
Nina 90% profile completion.
Ushauri hapa wadau..!
 
Attachments

  • IMG_20221231_023113.jpg
    IMG_20221231_023113.jpg
    44.1 KB · Views: 33
  • IMG_20221231_022546.jpg
    IMG_20221231_022546.jpg
    37.2 KB · Views: 33
Uzi huu ni mzuri sana, naendelea kujifunza mengi.
Nafanya kuonesha nina ujuzi gani wa kumshawishi mteja kwenye:-
Electrical Wiring Installation ( VETA Level II),
Swahili- English Translator ( kidogo), na skills nyingine za kujiongeza.
Nina 90% profile completion.
Ushauri hapa wadau..!
Kwanza profile completeness inatakiwa umalizie ifikie 100%.
2. Weka portfolios angalau 2
3. Hauweki skills ulizonazo bali unaonyesha problems ambazo skills zako zinaweza kutatua hope umenipata mfano. Unatakiwa kuandika websites designer and not information technology graduate
4. Pitia freelancers wenzio upwork cheki portfolio zao iba maujanja craft ya kwako nzuri kuliko zao
5. Wekeza nguvu na akili mwanzo ni mgumu sana.
6. Badilika jifunze vitu vipya kila siku, scammers ni wengi ukiwa online tumia akili sio hisia
7. Upwok ya leo ni very challenging compare to past 3-5 years. However you can start anywhere and reach even higher than one started 3-5 years back.

A word of insiration i started freelancing effectively on 2021 and have earned about 7k USD. The market is very competitive hope for the best but prepare for the worst.
 
Asante sana kwa ushauri huu mtaalam, nimekamilisha asilimia 100 kwenye profile.
Nimeandika portfolio moja nzuri kiasi, nataka niongeze nyingine, pia nime apply maombi kadhaa.
Nitaendelea kusoma na kujifunza kila uchao, msinichoke wataalam.
 
Portfolio n nn mkuu.nataka ni sign up na freelance.
Asante sana kwa ushauri huu mtaalam, nimekamilisha asilimia 100 kwenye profile.
Nimeandika portfolio moja nzuri kiasi, nataka niongeze nyingine, pia nime apply maombi kadhaa.
Nitaendelea kusoma na kujifunza kila uchao, msinichoke wataalam.
 
Hyo unverified na verified payment Ina maana Gani au ipi ndo inafaa niiaply
20230616_194209.jpg
 
Hyo unverified na verified payment Ina maana Gani au ipi ndo inafaa niiaplyView attachment 2659904
Mkuu nimefurahi kuona uzi niliowahi kuchangia miaka 2 iliyopita. Natamani kuelewesha sana changamoto hivi vitu sio rahisi kama ambavyo mtu anaweza kufikiria.

English to Swahili translation job inahitaji CAT Tools to maintain image and texts formats which you cant handle without the tools. You may either use SDL trados, MemoQ, .....

Bila kupata cracking software kuzinunua original ni 400+ usd.
Kufupisha baada ya kuona uzi wa freelancing ama Upwork wekeza kwenye mitandao soma Youtube, jisajili upwork community kuna kuwaga na free webnars ni bando lako tu.

Baada ya mwezi mmoja mpaka miwili ukiwa serious umewekeza muda na resources utaanza kunua nini unafanya.

Niseme ukweli hamna shortcut wala pesa za bure ni kufanya kazi haswaa.
Hata mtu akisema anilipe nimfundishe inamhitaji na yeye aweke juhudi nitamwelekeza nusu saa kuhusu may be kutengeneza portfolio but itamgarimu masaa aingie canva, aperuzi freelancers wengine ndio atengeneze ya kwake.
Next session nitamfundisha searching strategy maybe 40 minutes but hes suppose to spend many hours practicing.

Nitaelezea how to write a winning proposal, negotiating skills and more may be 20 minutes but supposed to dig more and more.

Pia algorithm zina badilika so freelancers needs also to change by aequire new skills. Its possible but not easy.
Kuna watanzania wanalipwa 40$/hr huyu mwamba anaitwa julius P. Kessy ...search the man upwork utamwona......nadhani by professional ni daktari yupo Njombe ameingiza zaidi ya 70k usd about 160 million.
Kazi zake ni English to Swahili translation.

Haimaanishi ukicharge 5-10 ndo utapata clients. Pia hata jamaa nayeye alianza Zero, kama mimi na wewe na pia hajaxaliwa USA alisikia na kuniongeza.

Nilipopata 1k nilifurahi nikizani nitaanza kupokea tu invitation nikafika 5+ wapi kila siku game ni ngumu zaidi ya jana.

Its possible but not easy and no one can teach you everything, and No one knows everything even the top rated plus freelancer with about 100K+ earnings.

Mtu usione komenti na kukimbilia inbox mkuu nifundishe just ingia kwanza online pata ata ka knowledge kidogo ndio uje. Sio mtu unamwelekeza anakuambia eti bro ivi ni kweli hizi kazi zipo????

Unaniuliza ivi kazi yangu ni kukuaminisha au kukuelekeza ata kama ukiwa umenipa ya bando but indirectly inakatisha tamaa kuendelea kukuelekeza.

Mtu anataka uneanza kumwelekeza j3 basi ijumaa ameshapata kazi imipita week 2 bila bila mwezi tayari amepotea haingii tena online!!!! Ni kama umefungua kampuni ukitegemea sababu umejisajili basi tenda utapata tu ndani ya wiki au mwezi!!!

Freelancing isiwe main job hii ifanye side job ipe muda unaweza pata kazi 4 tu kwa mwaka na ukatengeneza 3k+ ambazo unaweza kuwa umezifanya chini ya miezi 3 tu.
Mwaka unaofuata wale uliowafanyia anaweza kurudia ata mmoja akakupa kazi kubwa kuliko ndio trends inakwenda hivyo.

Na kutokana na profile yako sasa kuonekana umewahi kulipwa 3k+ clients wanaanza kuona wewe ni reputable na kukutumia job invitations. Mwisho wa siku na wewe unakuwa top rated [emoji832] unapandisha malipo yako labda from 10$/hr to 25$/hr na unapata kazi.

Utaanza kupata kazi njee ya platforms na maujanja mengine lakini sio ufundishwe wiki hii next week uanze kutengeneza 200$+ per month. Hii inawezekana ila naweza kusema ni bahati kati ya watu 100 mtakaokuwa mmefundishwa basi 5 tu ndio wanaweza kupata hiyo bahati na nahakika lazima Watauga na added advantage.
 
Back
Top Bottom