GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
- Thread starter
- #21
Mkuu sasa unatusaidiaje kuhusu hili la kuongeza ujuzi kuna madarasa online mtu ajibrush kidogo then ndo arudi kuapply au ?
Ndiyo, nitumie Email nitakuelekeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa unatusaidiaje kuhusu hili la kuongeza ujuzi kuna madarasa online mtu ajibrush kidogo then ndo arudi kuapply au ?
View attachment 1520490
Upwork inalipa sana ila freelancer kwangu inalipa zaidi.
Mkuu nielekeze mkuu namie nianze kupiga hela. Ku bid ni nini?View attachment 1520490
Upwork inalipa sana ila freelancer kwangu inalipa zaidi.
Mkuu my formula ni simple tu, fikiria what you can do nikimaanisha skills ulizonazo, then jiunge labda fiverr.com, upwork.com, freelancer.com, utest.com then omba kazi unazoweza zile zinazokuwa posted na clients. Zifanye kwa uhakika.Mkuu nielekeze mkuu namie nianze kupiga hela. Ku bid ni nini?
Sawa kaka, kama bongo tunafanyishwa kazi viwandani kwa 10hrs na kulipwa 5000 na hatuachi kwenda, unafikiri kutakuwa na ugumu gani wa kufanya kazi ya kulipwa 100,000 kwa masaa yale yale?! Tutachapa kazi tuMkuu my formula ni simple tu, fikiria what you can do nikimaanisha skills ulizonazo, then jiunge labda fiverr.com, upwork.com, freelancer.com, utest.com then omba kazi unazoweza zile zinazokuwa posted na clients. Zifanye kwa uhakika. Mfano utaona nimefanya jumla ya kazi 16, ila kazi mbili ndizo zimenipa 3:4 ya mapato yote ya upwork kwakuwa ni ongoing projects hizo 14 nilikuwa ninafanya zinakwisha mfano utaona hapo kuna project ya jana nimeimaliza na imekuwa ended hiyo ya east africa Hub.
Lakini kama kazi nyingine yoyote, inahitaji uwe patient hasa ukiwa mpya maana inaweza kukuchukua muda kupata client. Na keep in mind siyo pesa ya bure maana unafanya kazi kama kazi nyingine
Mkuu nimeshajisajili freelancer.com inaonesha jamaa hawana complications kama upwork. Naomba nielekeze jinsi ya ku set profile ili nipewe kazi namimi! Napenda za data entry zaidi.Kama una hiyo spirit basi you will make it unaweza pia jaribu freelancer, kwa mwezi huu nimeshalipwa zaidi ya usd 600 huko so unaweza try pia
View attachment 1520737
Mkuu nimeshajisajili freelancer.com inaonesha jamaa hawana complications kama upwork. Naomba nielekeze jinsi ya ku set profile ili nipewe kazi namimi! Napenda za data entry zaidi.
Naomba nielekeze namna wewe umeset profile.Mkuu, kupata kazi si ku-set profile pekee. Ni mchanganyiko wa mambo kama 3 hivi.
1 • Uwezo wakumshawishi client kwamba wewe ndiye best candidate katika kazi husika.
Hapa itabidi utumie sana personality yako kwamba angali unaanza kubid kazi husika client akisoma tu proposal yako mstari wa kwanza anasema yes.
Nafahamu kwa hakika, inachukua muda mchache tu client kugundua freelancer fulani anamfaa.
2 • Profile yako inabidi iwe authentic katika namna umeelezea ujuzi ulio nao.
Hapa wengi wanafeli.
Sababu ni rahisi tu. Watu wengi si original. Nadhani umenielewa copy & paste. Wanadhani wakifanya hivyo profile zao zitakuwa “zimeshiba”. Nop, mtu mwenye akili akisoma ananusa tu harufu ya ulaghai.
3 • Luck
Ndiyo.
Sometimes ni bahati tu.
Client anaweza akakupa kazi kwasababu amependa tu haiba yako.
Ndiyo maana ninasema sana kuhusu kujenga personality nzuri.
Sasa haya yote huwezi jifunza hapa JF kwa kusoma maandishi pekee.
Ndiyo maana ukisema “nifundishe” hapa JF wakati wote hai make sense.
I hope you understand my point.
Cheers [emoji1635]
Naomba nielekeze namna wewe umeset profile.
Post nzuri sana. Ila umeshindwa kutwambia how to win!! Umeishia tu kusema beginners wanafeli hapa na pale. Mimi naomba utwambie beginners tufanye nini ili tufaulu kwa hizi proposal zetu?? Kwa kifupi tufanye nini sasa ili na sisi tuonekane haraka? 🙏akuchague
Kwanza profile completeness inatakiwa umalizie ifikie 100%.Uzi huu ni mzuri sana, naendelea kujifunza mengi.
Nafanya kuonesha nina ujuzi gani wa kumshawishi mteja kwenye:-
Electrical Wiring Installation ( VETA Level II),
Swahili- English Translator ( kidogo), na skills nyingine za kujiongeza.
Nina 90% profile completion.
Ushauri hapa wadau..!
Asante sana kwa ushauri huu mtaalam, nimekamilisha asilimia 100 kwenye profile.Kwanza profile completeness inatakiwa umalizie ifikie 100%.
2. Weka portfolios angalau 2
3. Hauweki skills ulizonazo bali unaonyesha problems ambazo skills zako zinaweza kutatua hope umenipata mfano. Unatakiwa kuandika websites designer and not information technology graduate
4. Pitia freelancers wenzio upwork cheki portfolio zao iba maujanja craft ya kwako nzuri kuliko zao
5. Wekeza nguvu na akili mwanzo ni mgumu sana.
6. Badilika jifunze vitu vipya kila siku, scammers ni wengi ukiwa online tumia akili sio hisia
7. Upwok ya leo ni very challenging compare to past 3-5 years. However you can start anywhere and reach even higher than one started 3-5 years back.
A word of insiration i started freelancing effectively on 2021 and have earned about 7k USD. The market is very competitive hope for the best but prepare for the worst.
Asante sana kwa ushauri huu mtaalam, nimekamilisha asilimia 100 kwenye profile.
Nimeandika portfolio moja nzuri kiasi, nataka niongeze nyingine, pia nime apply maombi kadhaa.
Nitaendelea kusoma na kujifunza kila uchao, msinichoke wataalam.
Ni file la kuonesha ni namna gani umetumia ujuzi wako kutatua matatizo au kufanya kazi zinazohiaji fani yako.Portfolio n nn mkuu.nataka ni sign up na freelance.
Mkuu nimefurahi kuona uzi niliowahi kuchangia miaka 2 iliyopita. Natamani kuelewesha sana changamoto hivi vitu sio rahisi kama ambavyo mtu anaweza kufikiria.Hyo unverified na verified payment Ina maana Gani au ipi ndo inafaa niiaplyView attachment 2659904