Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Mbona unapaniki mtoto mzuri?Baada ya dingi yako kesho ni zamu yako kupekenyuliwa upenuni siku nzima wala usiwe na haraka.Utajua tu shoga linalowashwa linavyong'ang'ania wanaume. Kafie mbele mkundu kunuka wewe
Achana na hawa watoto wa siku hizi..unamuelewesha na kumpa reference,akishindwa hoja anakuita shoga. Wakati kizazi chao ndo wanaongoza kuliwaMnaharibu thread mbona ilikuwa vzr tu
Haiependezi kutukanana wazazi kisa tu Kenya na rwanda
Shoga utamjua tuTulia wewe,tena sihitaji wese wewe ni kohozi tu zitalainisha hio fasi yako hapo katikati ya milima ya usambara.
Kwanza nikulaumu kwa kuonyeshesha wazi wazi kulaumu uongozi wa awamu ya 5 na kuisifia awamu wa 6. Kama mchokonozi au mwanzilishi wa mada hukutakiwa kuonyesha upande. Hiyo ingepelekea wachangiaji kutochangia kiushabiki.Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.
Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa sehemu ya mfumo wetu wa ulinzi kwa kiongozi wa juu.
Naomba tujadili ni upi uhusiano wenye Kati ya haya mataifa mawili una manufaa kwetu kama nchi.
Alitudhulumu nini mkuuRwanda wilaya tu ya Ifakara ndo iwe mbadala wa Kenya? Alafu huyo mtu ni wa kukaa nae mbali. Si alitudhulumu huyo mtu?
Watu wake wepi hao mkuuAshatupata kitambo. Kuna uwezekano mmoja wa watu wake walishawahi kuliongoza taifa
Hili wazi lako ni wazo mfu.Kenya ni mlango wa biashara za mazao kwenda Somali, Ethiopia, Sudan na kwingineko chakula cha Tanzania kinafika mbali mno kuwazuia wakenya ni kujifungia fursa zilizo wazi kabisa.
Tunajadili mstakabali wa Taifa letu wewe unaleta uvyama. Hivi mkiwa CDM huwa mnawaza kwa kutumia mikundugu yenu?Naona mmeanza kujitaja vibaraka wa jiwe
Huwezi kuchagua majirani, hawa wote wataendelea kuwepo permanently ktk pande zote za border zetu hata baada ya sisi sote kuondoka hapa duniani.Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.
Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa sehemu ya mfumo wetu wa ulinzi kwa kiongozi wa juu.
Naomba tujadili ni upi uhusiano wenye Kati ya haya mataifa mawili una manufaa kwetu kama nchi.
Kwa matusi hayo unajionyesha kuwa wewe ni mnyarwanda uliyekuja baada ya 2015Tunajadili mstakabali wa Taifa letu wewe unaleta uvyama. Hivi mkiwa CDM huwa mnawaza kwa kutumia mikundugu yenu?
Huna ujuwalo wewe sukuma gangHili wazi lako ni wazo mfu.
Kwani wafanyabiashara watanzania wanashindwa nini kwenda kuuza mahindi moja kwa moja katika hizo nchi ulizozitaja? Ubunifu wa wafanyabiashara wetu ni 0+. Kenya ingekuwa ni nchi ya kupitishia bidhaa zetu na kuzipeleka zinakohitajika na siyo kutegemea wafanyabiashara wa Kenya ndiyo wapeleke bidhaa zetu sokoni.
Ubunifu huu ndiyo inatakiwa upatiwe ufumbuzi na Serikali yetu na wafanyabiashara wetu. Siyo kulazimisha mahusiana na nchi ambayo inakupenda kutokana na kunafaika na wewe. Rafiki wa kenya ni rafiki mwenye kuinufaisha Kenya. Lakini ikionekana ww utanufaika na kenya huo ndiyo unakuwa mwisho wa urafiki na wajinga hao.
Naona chizi umerogwa tena hasa baada ya mumeo kuaga duniaTunajadili mstakabali wa Taifa letu wewe unaleta uvyama. Hivi mkiwa CDM huwa mnawaza kwa kutumia mikundugu yenu?
Afadhali ungeandika kinyarwanda tungeelewaKwanza nikulaumu kwa kuonyeshesha wazi wazi kulaumu uongozi wa awamu ya 5 na kuisifia awamu wa 6. Kama mchokonozi au mwanzilishi wa mada hukutakiwa kuonyesha upande. Hiyo ingepelekea wachangiaji kutochangia kiushabiki.
Yote kwa yote elewa kwamba kuna nchi nyingi ambazo hutegemea nchi nyingine kama vyanzo vyao vya mapato. Ni kwa mda mrefu sana Kenye imeitegemea TZ kama chanzo chake cha mapata÷
1. Kwa kutuuzia bidhaa zao za viwandani
2. Viwanda vyao kuendeshwa kutokana na law material za TZ.
3. Kuuza madini yetu kama kwamba wao ndiyo wamiliki au wachimbaji wa madini hayo (alikuwa ni No 2 kwa mauzo ya Tnite Duniani)
Baada ya JPM kuzuia huo ujanja/wizi wake ndiyo wakaanza fugisu figisu ambazo hazina maana.
Pia kumbuka Rwanda ndiyo chanzo cha machafuko ya DRC. Wanaendeleza na kufadhili machafuko hayo kwa maksudi ili waendelee kuwaibia madini yao.
Kwa hiyo hili swala la Kenya na TZ usiliangalie juu juu au kwa mapenzi ya maraisi wetu. Choko choko ya Kenya na TZ hazikuanza leo. Hata JKN na Kenyata walivurugana sana. Kwa Mwinyi ndiyo ikawa kimya kwa sababu mzee mwinyi sera yake ilikuwa ni ruksa kwa kila kitu.
Kumbuka kwa kikwete jumuia yote ya EA walimtenga. Hasa Kenya na Rwanda. Sbb ya kumtenga mimi na wewe hatuijui. Lakini pia ilikuwa wakifanya vikao bila kumhusiha Kikwete.
Wazo la Samia ni wazo sahihi. Lakini aangalie tusije ingizwa choo cha kike. Wakenye wana uweze mkubwa sana wa kucheza na fursa. Wakiona mama anawabana lazima wataanzisha ujinga wao. Kumbuka waliturudishia dhahabu ambayo hawakuwa na sababu ya msingi ya kuturudishia. Kwani waliyokuwa na dhahabu hiyo waliinunua na siyo kwamba waliiba. Na kwa habari ya chini ya capet ni kwamba waliyokuwa na dhahabu hiyo walifidiwa pesa yao na serikali yao. Je walikuwa na umuhimu gani kuturejeshea hizo dhahabu? Wakenya nenda nao kwa umakini mkubwa na siyo kiushabiki.
Kenya na DRC Congo, ndio mataifa ambayo Think Tank wa Serikali ya Tanzania wanatakiwa wayakumbatie. Huwezi kuendelea bila ya kuwa na washirika wa kipekee ambao wanakuletea hela kwenye biashara. Kenya ndio uti wa mgongo wa wakulima wa Tanzania, Congo ndio tumaini la bandari ya Dar kwa import na export. Soko la mazao mengi Morogoro lilikufa pale wakenya walipoacha kuja nchini Tanzania toka 2016. Tunashukuru sana Mama samia kwa kuondoa vikwazo hivyo. Sisi Morogoro tunawaitaji zaidi Wakenya maana wananunua mazao yetu kwa bei nzuri sana, kuliko tunavyowaitaji Rwanda ,Burundi,Uganda au Malawi.Ulikuwa Ni ushamba sana kuitupa Kenya na DRC na kuikumbatia Rwanda
Ajabu wewe unaejua hujaandika unachokijua ili kutusaidia nasi tuaiyojua tujue. Sawa mrs Mbowe nimekuelewaHuna ujuwalo wewe sukuma gang
Wanyarwnda kama wewe lazima mlazimishwe kurudi kwenuAjabu wewe unaejua hujaandika unachokijua ili kutusaidia nasi tuaiyojua tujue. Sawa mrs Mbowe nimekuelewa
To every action there is an equal and opposite reaction.Action [emoji121]Reaction[emoji121]
Rwanda na Burundi ndiyo marafiki na ndugu wa damu wa Jiwe ndiyo maana akawa anamkorofisha sana Uhuru KenyattaKenya na DRC Congo, ndio mataifa ambayo Think Tank wa Serikali ya Tanzania wanatakiwa wayakumbatie. Huwezi kuendelea bila ya kuwa na washirika wa kipekee ambao wanakuletea hela kwenye biashara. Kenya ndio uti wa mgongo wa wakulima wa Tanzania, Congo ndio tumaini la bandari ya Dar kwa import na export. Soko la mazao mengi Morogoro lilikufa pale wakenya walipoacha kuja nchini Tanzania toka 2016. Tunashukuru sana Mama samia kwa kuondoa vikwazo hivyo. Sisi Morogoro tunawaitaji zaidi Wakenya maana wananunua mazao yetu kwa bei nzuri sana, kuliko tunavyowaitaji Rwanda ,Burundi,Uganda au Malawi.
Sup mfanyabiashara kwa hiyo unachokiongea ukijui kabisa ni kama mgogoro wa SA na Zimbabwe ulivyotucost unaongea kirahisi kwa utapeleka mazao Sudan kwa ubunifu sijui akili day wapi baada ya kutatua matatizo unafikiri ubunifu..Hili wazi lako ni wazo mfu.
Kwani wafanyabiashara watanzania wanashindwa nini kwenda kuuza mahindi moja kwa moja katika hizo nchi ulizozitaja? Ubunifu wa wafanyabiashara wetu ni 0+. Kenya ingekuwa ni nchi ya kupitishia bidhaa zetu na kuzipeleka zinakohitajika na siyo kutegemea wafanyabiashara wa Kenya ndiyo wapeleke bidhaa zetu sokoni.
Ubunifu huu ndiyo inatakiwa upatiwe ufumbuzi na Serikali yetu na wafanyabiashara wetu. Siyo kulazimisha mahusiana na nchi ambayo inakupenda kutokana na kunafaika na wewe. Rafiki wa kenya ni rafiki mwenye kuinufaisha Kenya. Lakini ikionekana ww utanufaika na kenya huo ndiyo unakuwa mwisho wa urafiki na wajinga hao.