Urafiki sa mwanamke na maanaume ubakufa maramoja tu pale wakishakutana kimwili.

Urafiki sa mwanamke na maanaume ubakufa maramoja tu pale wakishakutana kimwili.

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki ulikufa.
 
Back
Top Bottom