Urafiki sa mwanamke na maanaume ubakufa maramoja tu pale wakishakutana kimwili.

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki ulikufa.
 
Hebu weka picha zao hapa kwanza, kati yao kuna mwenye tako?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…