Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukimtangaza unadhani nani anadhalilika hapo? Sikuzote mwanaume atasifiwa, mwanamke ataonekana malaya. Alikiba ataomba msamaha kwa mkewe na maisha yataendelea, Diva ataendelea kuonekana bitch tu[emoji3]Mnamuonea Diva bure? Amechokozwa sasa ulitaka anyakaze tu. Ally Kiba ndo mpuuzi maana ukiishi katika nyumba ya vioo usisahau anzishe ugomvi wa mawe. Diva hana cha kupoteza bali Kiba ana mtiti na mkewe! Acheni kushabikia ujinga
sema kweli...Sijasoma hiyo post ya Diva lakini wanawake wanaotembea na waume za watu na wanajisifu wapo wengi tu, hata humu wapo
Aisee unasema kweli hujawahi kuwaona?sema kweli...
Ila bora kugonga diva mara 100 kuliko kugonga yule kichaa gigy money, yule gigy money BIGNO labda niwe nimelewa ma'konyagi au Kvant ila si kwa akiri nilizopewa na Mungu, tatizo alilonalo diva yeye mwenyewe ndio mchawi wa maisha yake, yale mashauzi + mazarau yake ndio wabongo awapendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kiba Je..
Mkuu hapa utakua umepanic mnoo hadi unajizalilisha.Karibuni USAFINI...achaneni na hao machoko.
Mara ngapi tunasema hapa hiyo ni media ya kichoko... Mashabiki wa Kiba na Kiba wote wamefanana Akili...
#Zuchuuuuu
Mawazo ya kitoto hayo! Diva has nothing to lose my dear! Kwani huwa hatuwatafuti machangudoa? Je, Kahwa meidi hawajulikani kuwa wanakongoliwa na wanaume wengi? Acheni utoto, mbona akina Wema wanataja wamelalwa na wanaume wengi? Anayepata mtiti ni Kiba kwa mke wake na ukweni. Hivi utaanzaje mwanaume kukashifu mwanamke uliyeweka dushe lako katika K yake na pengine ulilia sana mpaka akakuchunuku Tigo yake? Huu ni uvulana na dawa ya moto ni moto. Jino kwa jinoHivi ukimtangaza unadhani nani anadhalilika hapo? Sikuzote mwanaume atasifiwa, mwanamke ataonekana malaya. Alikiba ataomba msamaha kwa mkewe na maisha yataendelea, Diva ataendelea kuonekana bitch tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizitaki hizi mbichi, ukilala na takataka na wewe unakuwa ni takataka