Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Zamani nilijua Ally ni msanii anajiheshimu kwa kulinda profile yake. Ila baada ya kukutana nae sehemu kadhaa nilifuta imani yangu.
 
Upol
Zamani nilijua Ally ni msanii anajiheshimu kwa kulinda profile yake. Ila baada ya kukutana nae sehemu kadhaa nilifuta imani yangu.
Upole wa mtu mkuu usiutukuze sana anajificha na kivuli hicho,ulimuona wapi?
 
Sijawahi kuexperience hii kitu, mi nnachojua kufanya mapenzi na mke/mme wa mtu ni jambo la hatari na la laana kubwa ndio maana sikuzote huwa siri, sasa huyu Diva a.k.a #Kigagula katuletea jambo jipya, hii confidence sijawahi iona popote duniani. Yaani yuko proud kabisa kut*mbwa na mume wa mtu hadi anautangazia umma na ametuahidi kutuletea picha za chumbani[emoji39] kama bwana Kibakuli ataleta fyokofyoko. Hii imekaaje mwalimu Kashasha maana mi sielewi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamuonea Diva bure? Amechokozwa sasa ulitaka anyakaze tu. Ally Kiba ndo mpuuzi maana ukiishi katika nyumba ya vioo usisahau anzishe ugomvi wa mawe. Diva hana cha kupoteza bali Kiba ana mtiti na mkewe! Acheni kushabikia ujinga
 
Hivi ukimtangaza unadhani nani anadhalilika hapo? Sikuzote mwanaume atasifiwa, mwanamke ataonekana malaya. Alikiba ataomba msamaha kwa mkewe na maisha yataendelea, Diva ataendelea kuonekana bitch tu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kwa hiyo Crazy Gwamakah Kahiula alishaachwa!
 
Unapima oil tu kama alivyofanya yule wakili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni USAFINI...achaneni na hao machoko.
Mara ngapi tunasema hapa hiyo ni media ya kichoko... Mashabiki wa Kiba na Kiba wote wamefanana Akili...

#Zuchuuuuu
 
Karibuni USAFINI...achaneni na hao machoko.
Mara ngapi tunasema hapa hiyo ni media ya kichoko... Mashabiki wa Kiba na Kiba wote wamefanana Akili...

#Zuchuuuuu
Mkuu hapa utakua umepanic mnoo hadi unajizalilisha.
 
Hivi ukimtangaza unadhani nani anadhalilika hapo? Sikuzote mwanaume atasifiwa, mwanamke ataonekana malaya. Alikiba ataomba msamaha kwa mkewe na maisha yataendelea, Diva ataendelea kuonekana bitch tu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo ya kitoto hayo! Diva has nothing to lose my dear! Kwani huwa hatuwatafuti machangudoa? Je, Kahwa meidi hawajulikani kuwa wanakongoliwa na wanaume wengi? Acheni utoto, mbona akina Wema wanataja wamelalwa na wanaume wengi? Anayepata mtiti ni Kiba kwa mke wake na ukweni. Hivi utaanzaje mwanaume kukashifu mwanamke uliyeweka dushe lako katika K yake na pengine ulilia sana mpaka akakuchunuku Tigo yake? Huu ni uvulana na dawa ya moto ni moto. Jino kwa jino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…