Wewe ndio urudi shule "pumbavu" kiingereza Cha ugoko tu umeshindwa kuelewa unakuja eti nirudi Shule sema nikutafsirie ili uelewe.Ashasema as friend and low key lovers zaid Ya Hapo unataka uambiweje na wasanii wa Kiba walikua wanamuita mama.Watanzania rudini shule sasa hicho ulichoandika ndio kimeandikwa kwenye huo ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio madhara ya kuingia instagram kabla hata ujanawa uso na kupiga mswaki.Mmmh wahurumie kwa jirani wanatamani kulia EP imedoda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una uwezo wa kumpata ?Kweli ali kiba kaishiwa, anapita hadi na diva, demu ambae hata mimi siwezi kuhangaika nae kabisa
Wewe na diva mnahitaji msaadaMmmh wahurumie kwa jirani wanatamani kulia EP imedoda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 kwa swala hili la mume wa mtu ingekuwa ni nchi za dunia ya kwanza kipindi chake kingepoteza credibility kingefutwa au wangemfutaAnaushiri vp watu kuhusu mapenzi wakati yeye anatembea na mume wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
Ni pijini iliyogoma kukomaa ili iwe krieoliSijui ni pijini au sijui ni krioli, ukianza kusoma tu mishipa ya kichwa inaanxa kuuma.
Uzi ulifungwa hapa.Ambaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
Sio Kiba tu, mwanaume yeyote huwezi date na diva.
Ally nae wale wale tu ndio maana akawa na mahusiano na huyu mama.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe na diva mnahitaji msaada
UmeuaWewe na diva mnahitaji msaada
Dah wew umesema kweli ... huwezi kuwa mzimaa ukawa na mahusiano na chizi ..kiba atajutia maisha yake yoteAmbaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie unamchukia na Mange etiDiva na mange wana undugu. Wakipanic ni shida wanadondosha magazeti haooo na maushahidi ya kila aina