Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kuwa fan wa mange eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie unamchukia na Mange eti
 
Kwa diva bado hajasajiliwa wasafi? Anasubiri nn sasa
 
Binafsi naona maamuzi ni ya kwao, kama kupigana mashine walipigana wao, Diva kaamua kuweka mambo hadharani ili Raia tusogeze maisha na Gossip.....ila namshauri Kiba asijibu chochote, kamwe huwezi shindana na mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…