Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Naomba ku declear, niliacha kusikiliza clouds kwa sababu ya Diva. Kwenye kipindi chake chote alikuwa anafanya kazi ya kumpamba Ali kiba na hiyo lebo yake. Si kwamba simpendi Ali kiba ila niliona kipindi na radio nzima imekosa weredi katika kuendesha vipindi vya radio. Haiwezekani radio inaonesha upendeleo wa wazi kwa wale wasanii/watu fulani.

Clouds ina reflect tabia zetu watanzania, tunadeal na status na mahusiano yetu binafsi kuliko Professionalism.
 
Unapga kitoto kimetoka ngende, cheusi tiii mpaka kisimi imekaa kama hirizi,
kimejaa shanga na chale za kutosha, unakula na ndimu!

nikavumilia mwishoni, nkamuuliza "unamjua Mshanajr wa msata,"
Na chenyewe kwa kujifanya kijanja kinasema nilisoma naye ila yeye alikuwa na akili kafaulu kaenda sekondari... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Heshima yako brother[emoji23][emoji23]
Mastaa wetu wanapenda kula mataputapu mweh! Bora sisi tule kuku wetu wa kienyeji Mbagala tu. Vimwalimwali vya kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianzia hapa.

Naona wanataka kuwapa faida wambeya,mmoja kamwaga mboga mwengine anataka kubutua ugali.
 
Unapga kitoto kimetoka ngende, cheusi tiii mpaka kisimi imekaa kama hirizi,
kimejaa shanga na chale za kutosha, unakula na ndimu!

nikavumilia mwishoni, nkamuuliza "unamjua Mshanajr wa msata,"
Na chenyewe kwa kujifanya kijanja kinasema nilisoma naye ila yeye alikuwa na akili kafaulu kaenda sekondari... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Heshima yako brother[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo jamaa muache hivyohivyo, huyo anawafuata hukohuko mpitimbi akienda kuvuna miti shamba.
 
Back
Top Bottom