Urafiki wa Wema, Kajala warudi Upya

Hivi huna habari eeh?Ngoja nikuitie nguli wa umbea E.A warumi akupe habari

Nishamsoma sana Uncle warumi ila point yangu ni kwamba wanaotumia weed hawapo hivyo huyo Jumbe maybe alikua anamchanganyia kama Ray C alivofanyiwa, hana class ya kutumia cannabis huyo!!
 
Nishamsoma sana Uncle warumi ila point yangu ni kwamba wanaotumia weed hawapo hivyo huyo Jumbe maybe alikua anamchanganyia kama Ray C alivofanyiwa, hana class ya kutumia cannabis huyo!!

kitambo 2 ni teja ila gari bado halijakolea moto.......yeye pombe kali haya,unga haya,mbooooga haya
 
Unataka afungwe?
 
Niliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
Huo mchele warumi mbona hujatumwagia jamani
 
Hivi huna habari eeh?Ngoja nikuitie nguli wa umbea E.A warumi akupe habari
Sure dear anakula vumbi 100% ila kwa kuwa ana hela anakula pele a.k.a brazil ile nyeupe saana watumiaji hawachoki haraka! Ila akiishiwa atarudi tuu kwenye dona na ndipo atapoteza ramani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…