Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishamsoma sana Uncle warumi ila point yangu ni kwamba wanaotumia weed hawapo hivyo huyo Jumbe maybe alikua anamchanganyia kama Ray C alivofanyiwa, hana class ya kutumia cannabis huyo!!
Unataka afungwe?Kiboko wapii?
Kakosa staha na hulka ya kike.Kidomo juu juu kuchambana na fansii mpaka tumejua kuwa kalitaka kujiua
Vipi hivi ile kesi yake ya The Great imekwisha?
Mahakama za tz buana.Oscar pretorious ashajua hatma yake, Haka ka Andunje kamehakikishiwa hakatopigwa hata mvua moja ingawa kesi za mauaji bila kukusudia upo uwezokano wa kupigwa mvua japo 2
Cc: @ Ruttashobolwa
kitambo 2 ni teja ila gari bado halijakolea moto.......yeye pombe kali haya,unga haya,mbooooga haya
Gari nadhani ndio limeanza kukolea now manake mambo anayofanya ni noma!
Huo mchele warumi mbona hujatumwagia jamaniNiliona ,mimi nilimchamba kidogo tu akaniblock ***** ,angeniacha ningemvua nguo hadharan na ushirikina wake,mtoto mdogo mchawi,magonjwa yote anayo yeye
Sure dear anakula vumbi 100% ila kwa kuwa ana hela anakula pele a.k.a brazil ile nyeupe saana watumiaji hawachoki haraka! Ila akiishiwa atarudi tuu kwenye dona na ndipo atapoteza ramani.Hivi huna habari eeh?Ngoja nikuitie nguli wa umbea E.A warumi akupe habari