Mkuu,wewe umeona English tu?
Mbona tunakua kama na phobia hivi na English?
Wewe mzalendo sana ee?Mbona huzungumzi lugha ya kijijini kwenu unapotoka?Unaongea Kiswahili cha Pwani cha Wazaramo na Waarabu ambacho si chako kwa asilia?
Umekikuta na kukimeza kama kilivyo
Mimi Kichagga ndio nina emotion nacho,ila hivi vingine vyote iwe English,Kiswahili,sijui Kifaransa,sijui Kigogo,etc naviona kama nyenzo tu za survival kunirahisishia kufikia malengo yangu nayotaka,mengine sina mpango nayo,sio lugha zangu ni za watu wengine,naziazima tu,I dont claim anything!