Simli kimasihara mkuu namuwowa kama umeshampitisha kwenye chekeche ya TBS mimi ni nani hata nisimuwowe😂Mkuu najua unataka kumla kimasihara upite speed kali kama @rickboy [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Mzee wa loseball[emoji23][emoji23]Niunganishe nae mimi sasa mkuu ili ulipe fadhila[emoji28]
Mi siwezagi kuweka mdomoni kijiti cha kuchokonolea meno kwa muda mrefu eti mbwembwe lazima nitakitafuna tu........sijui nimeeleweka hapo au hadi nifafanue
Ukiweka na kiinglishi inakolea zaidi eeehNo such thing as love
Human beings are hypocritical,they thrown in a word "love" kumbe wamepata watu wa kuwafanyia vitu vya bure to further their lives hii inajumlisha aidha huduma,au pesa,au emotional support,etc
Sisi wa tunaoamini selfishness is a a virtue tofauti na nyie wanadamu wanafiki,tunasema ili tupendane ni lazima maslahi yetu yawe complimentary,two way ticket
Hakuna mtu anapendwa hivi hivi tu,ni lazima approve his value to you na your value to her kuhalalisha hii transaction,otherwise ni stupidity
Just like this we are seeing here!
Mkuu jokes tu,mimi mwenyewe nachojua kwa ufasaha ni kiswahili tu sijui iyo English,kichina kireno kijapan nasikia tu na kudandia dandia ata kichaga sikijui kabisa japo kwetu ni kibosho kati dakau pale kwa RafaelMkuu,wewe umeona English tu?
Mbona tunakua kama na phobia hivi na English?
Wewe mzalendo sana ee?Mbona huzungumzi lugha ya kijijini kwenu unapotoka?Unaongea Kiswahili cha Pwani cha Wazaramo na Waarabu ambacho si chako kwa asilia?
Umekikuta na kukimeza kama kilivyo
Mimi Kichagga ndio nina emotion nacho,ila hivi vingine vyote iwe English,Kiswahili,sijui Kifaransa,sijui Kigogo,etc naviona kama nyenzo tu za survival kunirahisishia kufikia malengo yangu nayotaka,mengine sina mpango nayo,sio lugha zangu ni za watu wengine,naziazima tu,I dont claim anything!
Vijana wa hovyoNiunganishe nae mimi sasa mkuu ili ulipe fadhila😅
Mm,unachekelea laki moja na ufuska,haya bwana.Tulia tafuta binti uoe.wakuu kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga hau kutongozana, nina rafiki angu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani babati huko sasa tumekuwa na urafiki wa karibu mno licha ni mwanamke mrembo haswa kama unavyowajua wanawake wa babati haswa wairaq uwa ni warembo mno sana japo mwanzoni mwa urafiki wetu nilikuwa nikipitia kipindi kigumu sana
Akupe pasi ndefuu 😃Niunganishe nae mimi sasa mkuu ili ulipe fadhila😅