Majuzi tu nilikuwa Lamadi, Nyakabindi, Dutwa, na Isanzu! Najiandaa na 2015 kwenda kumng'oa Chenge.
du mzee wa viji-sent inabidi tumg'oe kweli, wewe nipe shout nitakuwa nawe bega kwa bega.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuzi tu nilikuwa Lamadi, Nyakabindi, Dutwa, na Isanzu! Najiandaa na 2015 kwenda kumng'oa Chenge.
Majuzi tu nilikuwa Lamadi, Nyakabindi, Dutwa, na Isanzu! Najiandaa na 2015 kwenda kumng'oa Chenge.
Tiketi ya chama gani ?
My real concern is in the last sentence. I am sure wote hapa hamtapenda kusikia uraia wa Tanzania ukigawiwa kama pipi kwa wageni simply because baba wa mwombaji ni rafiki wa kigogo fulani au civil servant. Hakuna atakayependa kuonga passports zety zikigawiwa kwa wageni kama njugu vile. Neither one would like to give foreigners a Tanzanian citizenship based on a "dry feet, wet feet" policy.
Otherwise, matokeo yake ni kwamba in the few years to come utakuta nchi inatawaliwa na kuongozwa na wageni ambao walipewa uraia wa kujuana wakati Watanzania wakipitia kwenye strict procedures kupata uraia wa nchi nyingine. Kama hizi sheria legelege zinaendelea kuwepo baada ya kuanzisha dual nationality kuna uwezekano kabisa wa foreigner kuomba hata hata tri-nationality na kupewa. Bongo tambarare hii.
Citizenship should depend on descent, not the place of birth. However, we must first ensure that our prone immigration laws are properly set up to deal with those who will apply for a Tanzanian citizenship. In the near future, we will have a reverse emigration. Citizens from where we are currently emigrating will soon be immigrating to our homelands.
We must ensure that hao wageni wakija siyo wanapita moja kwa moja mpaka ndani wakachukua chochote kwenye fridge na kusepa, bali wabishe hodi kwanza tuwafungulie kama wanavyotufungulia sasa huko kwao. kama mipaka yetu itakuwa secured, wala sina tatizo.
Apparently you are devoid of any notion of how these things work. Let me break it down for you. The reason a Tanzanian living in the US would want to do some offshore acrobatics (and this is an extreme example to drive home the point)is the same reason Mitt Romney did it. To maximize profit and reduce taxation. Why would you say increasing the profit of a Tanzanian enterpreneur, who is most likely to assist the Tanzanian economy by remmittances or re-investing in Tanzania would not benefit Tanzania beats me.
Stop talking about ukija kama foreigner utapokelewa vizuri. Utapokelewa vizuri kwa sababu watu wanajua watakutoa upepo vizuri zaidi kwa sababu huna haki za kiraia na utapigwa ma kodi yote makubwa.
Hata ukitaka kuingia mbugani rate yako tofautio. Wewe vipi? Mbona unaleta mambo holela holela katika majadiliano ambayo yanatakiwa kuwa makini? Kwa hiyo wewe unataka watu waje kama investors wa nje kwa sababu watapokelewa vizuri zaidi? Halafu muwa harass immigration ku renew visa kila baada ya muda fulani katika nchi yao ya kuzaliwa?
Don't give me some informal system bull, that is what we want to do away with in this country, too many freaking njia za panya, you call yourself serious advocating for this sleazy sloth?
Only your undisciplined mind would say "Tanzania is doing better in international trade". Better than what? Even if you say it is doing better than what it did before, which is to be expected
how can you compare that with the situation that allows Tanzanians to have dual citizenship? We have never had dual citizenship for all aspiring Tanzanians, so how can you say it is doing better? How do you know the impact of dual citizenship on international trade? How do you know that you are not fully exploiting Tanzanias potential fully without allowing dual citizenship? How do you know you are not leaving money on the table due to some antiquated patriotism notions?
Of course you do not see offshore investments - which you did not understand anyway, so I do not expect you to grasp the concept- as one of the possible areas Tanzanians living abroad could benefit from.
What opportunities does it bring to the country? I will give you a simple example. Kuna mshkaji alipata interview ya kufanya kazi United States Federal Reserve. Kazi ambayo sio tu inge advance career yake, lakini ingempa an inside look at how the US Federal Reserve inavyofanya kazi na angeweza baada ya miaka michache kurudi Tanzania na kuchangia vizuri sana kwa hiyo experience. US Federal Reserve's employment agency wakaangalia resume yake nzuri, wameipenda, wakamwambia jiandae kwa interview. Jamaa kasema poa. Wakamuuliza swali moja, wewe ni raia wa Marekani? Jamaa akatokea hana uraia. Wakamwambia samahani sana hii kazi ni kinda sensitive kwa US government kwa hiyo wanataka raia tu.
Wabongo wana ma qualifications ya kufanya hizi kazi, lakini hizi habari za kukataa dual citizenship zinawazuia kuchukua ujuzi na ku advance careers, kujenga ma network makubwa huko.
Multiply that by tens of thousand times and you are retarding the building of tens of thousands of quality cribs, small businesses and millions of dollars in remittances that would help families home to undergo medical procedures, pay school fees, buy cars etc etc.
Ukisema "all that you are raising can be done without dual citizenship" ni kama vile unamwambia mtu "kwa nini tuhitaji magari na ndege wakati tunaweza kusafiri kwa punda?". You do not seem to appreciate the multiplier effect dual citizenship will bring.
You are not advancing Tanzanias interests by being an isolationist, you do so by moving with the world.This commonly held tradition is the medieval concept of a Westphalian nation-state as incepted in the Thirty Years War. It is antiquated and on it's deathbed, but I doubt you have done your homework to even know what that is, so maybe Google a little and update yourself.
And you could very well be left holding the bags.
Globalization ndo hiyo tayari ishawa force kuwa na vyama vingi na kuuza mashirika penda msipende.
Si bora mruhusu hiyo Dual Citizenship angalau tuwe na watu wetu humo kwenye mi Federal Reserves tukiona zinafanya maamuzi ya kutu impact drastically angalau kuna watu wa kutu alert ahead of time watu wakafanya efforts za ku pre-empt? Leo tunajizuia kuwa na watu watakao gather hata intelligence kwa faida ya nchi!
Kama hutaki kusoma nenda kaimbe - or better yet kacheze makida, maana hata kuimba kunahitaji kusoma siku hizi
usijitie ujuaji wa ku discuss dual citizenship wakati huja master the basics of "Individualism vs Collectivism"
Oh! Same stories.
Nigeria allowed dual citizenship in early 1990s. Ghana allowed dual citizenship in 2002. From those two cases, I see no significant economic improvement; as the nations are still trapped in poverty miseries. They are still seen as 'developing nations' in UN standards.
Why and how Tanzania would be different?
Mind you Nigerians and Ghanians are dispersed all over the North more than Tanzanians.
Chifu, hakika umesahau 'nyumbani kwenu!!!'
Hapa sasa tunapigia kelele uwepo wa misamaha ya kodi kwa wawekezaji, wewe unakuja na kilio cha "makodi yote makubwa??"
Chifu, mwekezaji sasa ana mteremko kuliko kipindi chochote cha Tanzania. Credits go to the downfall of the so called Westphalian system. Hayo ndiyo matunda ya globalisation na liberalisation; conducive settings for foreign investments.
Sasa unataka nawe utozwe Tsh. 1500 kuingia SENAPA wakati umebeba madolari? Wewe vipi? Hapa naona ubinafsi; hujali kuliingizia taifa pato kubwa zaidi.
Chifu, utakuwa harassed kama ukiwa bado na gamba lako la kitanzania. Ukija na gamba lako la UK au US hakuna atakayeku harass.
Mind you, sema nchi yako ya kuzaliwa uliyoikana.
Chifu, ukija kwa gia za njia za panya, utakumbana na njia za panya. Sasa unakuja na visenti vyako na kutaka kuwa treated (incentive-wise) kama anayekuja na billions of dollars?
Ukija na njia halali za mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza Tanzania, utakumbana na mteremko. Si unaona "wawekezaji wenzenu" wanavyopewa maeneo ya uwekezaji huku sisi watanzania tukinyang'anywa ardhi na kuitwa wavamizi?!?
Chifu, ndiyo maana nimekwambia umesahau 'nyumbani kwenu!'
Excellent. This is what I meant. Tanzania is doing much better than what it did before. Economic statistics say so.
Chifu, we are living in a 'globalised world', I can learn from other Africa's nations.
Things don't look that good and promising!!
In addition, you could have made you argument concrete by providing cases of how the current diaspora contributes significantly to the nation's economy under 'no dual citizenship' settings.
By the way, offshore investments have been criticised of tax evasions and as schemes for money laundering. As with secrecy in offshore investments, it becomes difficult for the owner to be taxed appropriately. They are not uncommon with drug kingpins and tax evaders.
Huyo jamaa ni mzembe kati ya wazembe duniani. Tena anaweza kuwa ni pimbi kabisa.
Sasa alitegemea anaweza kupata kazi kwenye sehemu kama hiyo bila ya kuwa raia? Hakuona hata job requirements? Yaani mkenya apate ajira pale Hazina au Benki Kuu?
Kama angekuwa ana nia ya kuipata kazi hiyo, basi angeukana tu utanzania.
Na kama angekuwa that exceptional jamaa wangemwomba achukue uraia. Si umeona mcanada alivyofanywa juzi pale Uingereza?
La sivyo, stori yako haina tofauti na zilizokuwa expectations za wakenya baada ya Barack kutinga White House.
Wabongo wangapi wewe?
Hizi stori tumeshazizoea. Wabongo wenye "ma qualifications" wasiosikika. Ebu nitajie hata watano wenye articles kwenye peer-reviewed articles za Science na Nature (the world most renowned peet-reviewed journals, with the highest impact factors).
Wangapi ni Nobel Laureates?
Acheni hizo mambo ili kuadvance your individualistic interests.
I haven't seen any success stories so far.
So the above is just bluffing
Show me any practical cases that would influence me into appreciating "the multiplier effect that dual citizenship will bring".
Really?!? You want Tanzania to move with the world!!
Yes. Westphalian system 'might' be on the deathbed. However, some of its core principles still exist. Even the state system is argued to have Westphalian elements, as no state can intervene domestic affairs of other states. That is why in US, there are states that have legalised same sex marriages with no occlusions from other states.
Moreover, that is why Tanzania can decide sovereignly without legitimate interventions from other nations. Tanzania can decide not to accept dual citizenship or homosexuality without being forced by the North to do so.
I wouldn't mind that. As long as my viewpoints on the issue stay put.
Mh!! Sasa unaanza kuleta utani.
Si kila kitu cha globalisation kitachukua mkondo wake katika mazingira ya Tanzania. Mfano mzuri, ni suala la ushoga.
Siamini Kiranga anaanza kuwa 'emotional!!!'
Unaendelea kufikiri kwa emitions kuliko uhalisia. Zilezile stori za wakenya na Barack.
Hivi unawaona wamarekani ni ma fizzles kiasi cha kuruhusu watu wenye uraia wa nchi nyingine watoe siri zao kirahisi?
Pili si rahisi kama unavyotaka kuaminisha raia hapa; wanaijeria na waghana wangekuwa wamejaa kwenye hiyo 'mi federal reserves'.
Labda sina habari hizo (ningependa kuzipata), sidhani kama ni rahisi kwa mtu mwenye uraia wa nchi nyingine kupata ajira kwenye security sensitive agencies kwa Marekani.
So now you need a peer reviewed article in Nature and/ or a Nobel Prize to work at the US Federal Reserve?
What kind of moonshine are you dabbling in to produce this ghoulish gibberish?
You can call me whatever name you may think, in whatever language you know. But, that is a fact until proven otherwise.
This has been one of the arguments for the enthusiasts - "wabongo wana ma qualifications" ya kufa mtu. That is why I questioned it by asking for any credentials to prove that. I didn't only base on your wimpy US Federal Reserve example.
Most of you have no " ma qualifications" of working in higher paying jobs; you have no credentials to prove your "ma qualifications".
Bring it on.
Hivi karibu tuu kumekuwa na mfufumuko wa nchi kadhaa kukubali dual citizenship zikiwemo Uganda, Poland, Kenya na Korea ya Kusini na nyinginezo. Kwa mshangao wa wengi, hata katiba mpya ijayo ya Zimbabwe nayo itakuwa na kipengele kinachoruhusu dual citizenship. Denmark nako wanafikiria kuwa na dual citizenship. Wanachama 20 ya Munngano wa Ulaya wanaruhusu dual citizenship.
Ma qualification ni nini? Hujauliza hata qualification za nini ushaanza kuzipaisha
Chifu, unaanza kusahau ulichokiandika?!?
Pale awali ulisema "wabongo wana ma qualifications......"
Ndiyo hapo sasa, wenye hizo qualifications wazielezee ili waipe uzito hoja.
Chifu, unataka kusema mfumuko huo utakuja kama upepo na kuifanya Tanzania nayo ikumbwe na kimbunga cha dual citizenship?
Chifu, hao wanachama 20 wa EU wanaosapoti dual citizenship ni wepi?
Nafahamu mataifa 7 tu yaliyo kwenye EU yenye uwepo wa dual citizenship: Italia, Ureno, UK, Slovakia, Hungaria,Ufaransa na Ireland. Lakini nyingi za nchi za EU hazina hiyo dual citizenship katika mazingira rahisi na yanayoruhusu watu kutoka nchi zote duniani. Mfano, Hispania ina makubaliano ya dual citizenship na nchi ilizozitawala kule Marekani ya Kusini. Slovenia inaruhusu dual citizenship kwa waslovenia walio expatriates katika nchi mbalimbali tu, waliokimbia nchi involuntarily.
Sasa ningependa nifahamu hizo nchi 11 nyingine (tukienda na Hispania na Slovenia pia).
Pia kimsingi sheria ya utaifa ya Poland haitambui dual citizenship. Kwani hata kama mpolish ana uraia wa nchi nyingine, akiwa ndani ya Poland, uraia wa nchi hiyo hautambuliki. Atatambulika kama mpolish. Ingawa watoto wanaozaliwa na wapolish popote pale walipo wanatambulika kama wapolish.
Absolutely no resason for dual citizenship! why do you want to be a citizen of two diffrent states?
Sasa ubaya wa faida kwa mtu mmoja mmoja ni nini?