Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
👉Maria sarungi alizaliwa nchi ya Hungary Tarehe 16 December, mama yake (Veronica Marton ) kwa kuwa alikuwa raia Hungary pia kwa mujibu wa Sheria za nchi ya hiyo alipendekeza mwanae "Maria Sarungi" pia awe raia wa Hungary,
👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent ) rasmi wa Tanzania Mnamo tarehe 26 July 2019, Namba "TAE 149820" ya tanzania ✍️
👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent ) rasmi wa Tanzania Mnamo tarehe 26 July 2019, Namba "TAE 149820" ya tanzania ✍️