Uraia Pacha wa Maria Sarungi: Hungary na Tanzania

Uraia Pacha wa Maria Sarungi: Hungary na Tanzania

Sasa ndo mleta uzi anatwambia kwamba watoto wa akina John Malecela, etc hawana uraia pacha. Kwanza uraia pacha una shida gani? CCM waoga mpaka basi.
 
👉Maria sarungi alizaliwa nchi ya Hungary Tarehe 16 December, mama yake (Veronica Marton ) kwa kuwa alikuwa raia Hungary pia kwa mujibu wa Sheria za nchi ya hiyo alipendekeza mwanae "Maria Sarungi" pia awe raia wa Hungary,

👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent ) rasmi wa Tanzania Mnamo tarehe 26 July 2019, Namba "TAE 149820" ya tanzania ✍️View attachment 3610183View attachment 3610184
Ewe maamuma wa Lumumba unataka semaje!!
 
Mbona mama yenu mnaomlamba matako kila siku ana uraia wa Omani kwani kuna shida gani
 
Hii bado haiondoi the fact kwamba Samia ni serial killer, kwamba Samia anaihujumu Tanganyika kwa makusudi na pia kwamba Samia hana nia njema na Watanganyika.
Ila raia wa Hungary ndio ana uchungu na Tanzania?
 
👉 👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent ) rasmi wa Tanzania Mnamo tarehe 26 July 2019, Namba "TAE 149820" ya tanzania
Kwa hiyo TAE 149820 ndio namba ya uraia?

Hebu jiongeze kielimu
 
Mmeishiwa hoja chawa, tukifingua pandora la uraia pacha nani huko CCM atapona?

Sikulaumu sana maana hata exposure ya machawa ni almost 0, mkitupiwa kitu mnabeba bila kutafiti.

Mpo kama mbwa wa mitaani anayekula kila anachokutana nacho kimeachwa.
 
Back
Top Bottom