Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

Hili jamaa ndo litakua limevunja ndoa ya Gardner Habash sema waliamua kutulia kidogo kupisha minong'ono ndo waanze kujionyesha
 
Ni mwanamuziki wa Nigeria anaitwa Spicy,Rumour has it inawezekana Kick ya Ngoma walioshirikiana kwa sababu hiyo honeymoon na Campos alikua znz inawezekana walikua wanshoot video
 
Back
Top Bottom