BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nakumbuka kwenye mtaa wetu palikuwa na chimbo la dawa lakini jambo la kushangaza ni kuwa licha ya kukaa hapo kwa takribani miaka 5 sikuwahi kunotice chochote mpaka pale jamaa yangu ambaye ni complete stranger alipokuja kunisanua, kuwa dawa zinapatikana location fulani nilibaki nashangaa amepajuaje ili hali mi mwenyeji sipajui?!
That was long time ago, leo hii mimi ni mraibu wa ........... . Nikifika ugenini nitafanya juu chini kwa kutumia rasilimali nguvu na hata pesa just to know where I can get what makes me happy.
The truth is uraibu ni most powerful thing ever.