Ninabeti huu mwaka wangu wa nne,nimepiga lipu na kupaka rangi nyumba yangu sababu ya beti,navaa vizuri sababu ya beti,nina smartphone sababu ya beti,Wakati naanza beti mke wangu alikuwa ananilaumu Sana lakini siku nilipokuta kitita Cha milioni kadhaa aliniruhusu niendelee kubeti.
Mchezo wa kamari kama beting ni kanuni tu,na ustake kile ambacho utakuwa tayari kukipoteza,kwa wiki huwa natumia shilingi 5000/= kwaajili ya bet ,kwa mwezi ni sh 20,000/= kwangu Mimi kupoteza pesa hiyo sioni shida.
But huwa nacheza jackport tu ya Betpawa ambayo tiketi moja ni sh 100/= nimewahi kupata bonus Mara kadhaa.sasa kwanini niache bet? Bet si ya kila mtu na unapobet usiwe na malengo ya juu (high expectations) kwamba eti lazima ule,utapata presha Bure.
Binafsi kuacha beti ni siku nitaila Ile jackport ya Betpawa ya sh milioni 200