Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

Katika kitu ambacho serikali inafanya uzembe ni hii kuwaachia watu binafsi tena kutoka nje kuendesha kamari. Kuna nchi michezo ya kamari na bahati nasibu ni mali ya serikali na inaendeshwa kwa haki na kitaalam na kuifanya kuwa source nzuri ya mapato ya serikali. Fedha zinazopatikana zinaweza kutumika kuongeza bajeti ya elimu, kujenga hospital nk.
 
Man U vs Chelsea (unaona kabisa pale GG lazima)
Eibar vs Barcelona (hapa Barcelona anakufa)
Atalanta vs Juventus (Over 2.5)

unaweka ten unapiga 50 yako fresh

Mniue tu asee,, siachi kubet
Aya,hutak nyingi
 
Kinachoweza kumfanya mtu apotee zaidi kuwa na matarajio makubwa zaidi. Lazima uumie. Unacheza kamari eti upate pesa ya gari, kujengea etc. Hapana aisee tufanyeni kazi.
 
Mimi kwa kweli nikikumbka Both team to score za uingereza ambavyo huwa zinakubali, sifikirii kabisa kuacha betting
Tatizo zinakubi nyingi moja tu inakuaribia unabaki kusema ayaaa, kesho tena unaumia. Mi pia nmecheza kamali lkn kiukweli ji mchezo hatari sna kwa afya ya mwili akili na uchumi wako.
 
Mkuu tupo pamoja tupo pamoja
 
Na huu uzi wachangiaji watakuwa ni wa wazee wa kubeti au nasema uongo ndugu zangu😂
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…