Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
CCM watafanya Nini wakati miradi ya kamari ni ya kwao ni wachezaji kujiongeza na kujinasua katika balaa hiliWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Kilimo kwanza au kamari kwanzaKuna Afisa kilimo aliajiriwa katika kijiji fulani,si unajua hawa jamaa hawanaga kazi sana na ofisi zao huwa zipo nyumbani anapoishi
Kutokana na kutokuwa na kazi ya kufanya,yeye akaona acheze makamali akihisi yanaweza kumuongezea kipato,alianza na mabonanza akawa anashinda nayo,alivyoona anapigwa sana akahamia kwenye kamali za mpira huko nako akawa ni wa kupigwa tu,unamkuta ana makaratasi kibao kama mwehu
"Makaratasi kibao kama mwehu "[emoji23]Kuna Afisa kilimo aliajiriwa katika kijiji fulani,si unajua hawa jamaa hawanaga kazi sana na ofisi zao huwa zipo nyumbani anapoishi
Kutokana na kutokuwa na kazi ya kufanya,yeye akaona acheze makamali akihisi yanaweza kumuongezea kipato,alianza na mabonanza akawa anashinda nayo,alivyoona anapigwa sana akahamia kwenye kamali za mpira huko nako akawa ni wa kupigwa tu,unamkuta ana makaratasi kibao kama mwehu
Jamani CCM mmezidi kuiineaWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
๐๐๐๐๐๐๐๐ Daaaah nimecheka sana...Kuna Afisa kilimo aliajiriwa katika kijiji fulani,si unajua hawa jamaa hawanaga kazi sana na ofisi zao huwa zipo nyumbani anapoishi
Kutokana na kutokuwa na kazi ya kufanya,yeye akaona acheze makamali akihisi yanaweza kumuongezea kipato,alianza na mabonanza akawa anashinda nayo,alivyoona anapigwa sana akahamia kwenye kamali za mpira huko nako akawa ni wa kupigwa tu,unamkuta ana makaratasi kibao kama mwehu
Daaah mimi ni muathirika mmojawapo nashukuru niliwahi kujitoaWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mkuu kamari iko dunia nzima acheni upuuzi yaani mtu mzima unajiita msomi unafamilia nyumbani unasubiri CCM ikufundishe ni mamna gani ya kuishi?Serikali iko bize kukusanya Kodi tu hakika mataifa ya Afrika yamejaa viongozi myopic tu
"Ukitaka usisahaulike ugenini vunja chombo"
Asije akauza pikipiki tuliyompa mwaka jana [emoji23][emoji23]Kuna Afisa kilimo aliajiriwa katika kijiji fulani,si unajua hawa jamaa hawanaga kazi sana na ofisi zao huwa zipo nyumbani anapoishi
Kutokana na kutokuwa na kazi ya kufanya,yeye akaona acheze makamali akihisi yanaweza kumuongezea kipato,alianza na mabonanza akawa anashinda nayo,alivyoona anapigwa sana akahamia kwenye kamali za mpira huko nako akawa ni wa kupigwa tu,unamkuta ana makaratasi kibao kama mwehu
CCM hapa tunaioneaWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mtu akishakuwa addicted wa kucheza hizo kamari hawezi kujinasua mwenyewe ! Ile milio na rangi rangi zinazotokea kwenye mashine za kamari mtu anapozungusha zimeteรฑgenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu wa kumfanya mchezaji awe teja wa hizo mashine !!CCM watafanya Nini wakati miradi ya kamari ni ya kwao ni wachezaji kujiongeza na kujinasua katika balaa hili