much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Safi sana waache waendelee hivyo hivyo ili tuwale wake zao kimasiharaWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.